wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
  3. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Nusu ya Watu Wazima Duniani Kote Watakuwa na Uzito Mkubwa ifikapo 2050

    Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti ulichapishwa leo ource: Global Burden of Disease study 2021 unaonyesha kuwa kuna watu wazima bilioni 2.11...
  4. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
  7. JamiiForums Tanzania Mawaziri watu wazima (Wazee) iwe funzo kwa vijana

    1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu. 2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
  8. JamiiForums Tanzania Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

    Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa. Ukichunguza utaona hawa wanaume wanatarget watoto ambao hawakustahili kabisa kuingia kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Nanunua Sungura pori Wazima kwa bei nzuri

    Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana. Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara. Bei 50000/= mmoja Nipo Mwanza. Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyompata Pinokyo: Inasikitisha kuwa kuna watu wazima bado wanatapeliwa namna hii.

    Nchi ingekuwa na utaratibu wa kusoma soma toka watu wakiwa wadogo, watu wengi sana wangeepuka kuishi Mji wa Mtego wa Wajinga. MBWEHA: Na fedha zako je? PINOKYO : Ninazo. Niliziweka mfukoni. Inakosekana pauni moja tu, niliyotumia kumlipa Bwana-hoteli. MBWEHA: Lakini niambie: umekwisha fahamu...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria za nchi yetu zinaruhusu kuwachapa viboko watu wazima hadharani?

    Najua kuna Jamii zenye taratibu za kuadhibiana kwa viboko kwa mujibu wa taratibu zao, pale inapotokea mwanajamii wao kakiuka taratibu walizokubalina. Vipi kwa upande wa viongozi wa Serikali, kuna kifungu cho chote cha Kisheria kinachowapa mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko kwa "wakosaji"?
  15. JamiiForums Tanzania Dar inaongoza vijana watu wazima kuishi kwa wazazi wao

    Habari zenu, Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao. Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao. Vijana wengi wa Dar...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto. Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  18. JamiiForums Tanzania Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

    Mimi sio mzee wala sio kijana, Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako, Sasa sijui wananisalimia mimi kama mimi au kwa sababu ni dokita Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku Wamama watu...
  19. JamiiForums Tanzania Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

    Mimi sio mzee wala sio kijana, Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize. Hawa ndio wanawake sasa, Sio...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

    Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako! Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…