Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.
Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
Mambo vipi wadau
Mimi kijana wa makamo 23 years
Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea
Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa...
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.