wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

    Tulianza awamu ya tano tukapiga makofi wapinzani walipofilisiwa na kufunguliwa kesi tukiamini tunakijenga chama. Tulipomalizana nao tuliamia kwa wana CCM nakuwachapa kuanzia kwenye fikra Hadi kwenye akaunti zao. Leo Wana CCM wote waliokuwa na nguvu ya kiuchumi wamefilisika, au wamekufa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP) Na Elia Wilinasi Sikanyika Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo, Natumai ni mzima wa afya njema. Mheshimiwa waziri wa Kilimo, Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kifo cha mbunge wa Uingereza Sir David Amess na ubaguzi wa wazi wa wazungu wa kimfumo

    Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi toka kwa Mwamba Katabazi

  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

    Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi. Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa. Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
  8. JamiiForums Tanzania Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

    No one will be part of the New World Order unless he carries out an act of worship to Lucifer. No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation. Maana yake: Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa. Hakuna atakayeingia...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

    Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu. Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  12. JamiiForums Tanzania Mambo yako wazi, tunakwamba wapi wanadamu?

    UINGEREZA Kwa mujibu wa ripoti yao: Asilimia 80% ya waliokufa kwa ugonjwa wa sasa Mwezi uliopita (Agosti) walikuwa wamechanjwa. Maana yake ni kuwa, kwa kila vifo 100, vifo 80 ni waliochanjwa. Vilevile, kiwango cha wanaolazwa ni asilimia zaidi ya 70% kwa waliochanjwa. SOURCE: Public Health in UK...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni. Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

    Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala . Mungu ibariki JF ==== Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash leo...
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umeweka bayana majukumu ya Haji Manara

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga. Rejea kisa cha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana mapengo ya Chama na Miqueson yapo wazi

    Jana simba imecheza mechi ya kirafiki na kutoa sare, kwa mpira ule kocha anakazi ya ziada kukijenga kikosi, tumefungwa magoli ya offside alafu mpira tumecheza kama chandimu, nimeamini itatuchukua muda kuyaziba mapengo ya chama na luis Nb: kama hujaona clip za mchezo ule katizame kwanza ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…