wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Casemiro aweka wazi jinsi ambavyo jina lake limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa miaka mingi

    Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani. Anasema “Nilipoanza kucheza soka Sao Paulo, kuna mechi walikosea kuandika jina langu kwenye jezi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Biblia imeandika wazi ya Mungu mpe Mungu na Kaisairi muachie kaisari. Katiba mpya itashusha bei ya vyakula kwa kuwajibisha viongozi

    Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa. Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa. Wewe umeacha kazi ya Mungu umekuwa tapeli wa kisiasa. Wananchi jimboni kwako watakutimua kama mbwa hata kabla ya uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

    Mwanzo huwa ni vitisho na kupewa presha juu ya balaa utalokutana nalo wakiweka mambo wazi, kinachofuata huwa ni utiifu wa kutenda wanayotaka, baada ya hapo ule muendelezo wa kutii kila mara mhanga anaanza kuchoka na hata anaetoa amri kuhisi anapata kidogo inabidi apewe zaidi. mifano...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Robatinyo

    Jina Robatinyo litamkwe kwa sauti ya Ahmed Ally.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbunge Nassary aliishia wapi? Mrithi wake kwenye kiti cha Ubunge ni nani? Au Jimbo lilibaki wazi?

    Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya kazi nje; huyu kijana pamoja na Masele NI watu ambao hakuna siku watamsahau Ndugai. Ndugai alimvua...
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chadema wekeni wazi wagombea ubunge 2025 katika majimbo haya, mtashinda sababu wabunge waliopo wamekosa ubunifu

    Majimbo yote ya Arusha na Kilimanjaro Kwa kuzingatia Aina ya nguvu ya upinzani huko na wabunge waliopo Kwa SASA NI wazi mkiwapelekea wananchi wagombea serious wanapata endorsement before 2025. Mkoa mtwara majimbo yote hayana mtetezi wanasubiri watetezi wafike, anzieni kwenye mikutano ya adhara...
  10. JamiiForums Tanzania Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Dkt. David Mnzava the Medical council of Tanganyika "Secretary and registrar"(The MCT registrar and secretary of the board)

    Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI, Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36 ilikuwa na kichwa cha Habari kisemacho "KUOMBA KUTAMBULIKA KAMA MADAKTARI KAMILI NA WIZARA YA AFYA" Ya tarehe 22 December...
  13. JamiiForums Tanzania Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo. Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona...
  14. JamiiForums Tanzania Sallam SK aweka wazi taarifa za kutofautiana na Diamond Platnumz

    Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide. Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
  15. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa BALILE na MERICA

    Naomba nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai japo sisi sio kwamba ni wazuri sana zaidi ya waliotangalia mbele haki. Nakuandikia Barua ya Wazi ndugu Balile na MERICA mtusaidie mambo yafuatayo. 1. Tunaomba mfuatilie kwa kini kiini cha Waziri Makamba na TANESCO kushindwa kueleza mradi wa...
  16. JamiiForums Tanzania CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

    CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi. Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu! Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tazama upendeleo wa wazi anaofanyiwa Messi kwenye Kombe la Dunia

    Kwenye mechi dhidi ya Croatia Messi mliona alivyopiga chenga na na kutoa pasi nzuri iliyozaa goli la 3. Ilikuwa pasi nzuri na ni kweli ilionyesha Messi ni mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani Basi mitandao ilichafuka kwa sifa kuhusu alivyocheza Messi dhidi ya Croatia Lakini jana kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa bodi ya wakurugenzi Simba, Mwenyekiti Mangungo, Try again, Mohamed Dewji, Kassim Dewji Magori Matola na wengineo na mashabiki

    HABARI WAKUU. Heshima Nyingi sana kwenu. WAKUBWA Shikamooni. Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu. Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA SPORTS CLUB. Lunyasi. Niliipenda sana Simba kwa sababu nilimpenda sana style of play. KUPIGA pasi...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojiuza kwa kudanga ni wabaya zaidi ya wale wanaojiuza wazi wazi

    Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe mwenzako ni mdangaji mmepangwa kama watano bila ya kujua. Sitetei malaya hapana lakin ni Bora mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…