wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  3. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  4. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

    Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao Haya ndiyo aliyoyasema...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

  6. N

    JamiiForums Tanzania Wazazi Nzega mji walia na ahadi hewa Hussein Bashe: Ahadi ya chakula kwa wanafunzi wa mwanzoli yasalia hewani

    Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika. Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
  7. Daby

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi wenye watoto Marian Girls Karo ni shilingi ngapi kwa Mwaka?

    Karo jumlisha michango mingine.... na je wana boarding?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Waziri Gwajima,: Kwa wazazi wanaolazimisha watoto waolewe

    Ukurasa wa Facebook wa Mheshimiwa Waziri Gwajima: KWENU WAZAZI MNAOLAZIMISHA WATOTO WAOLEWE. Hivi kwanza huwa mnatoa wapi ujasiri, nguvu na mamlaka ya kumlazimisha mtu mwingine afanye lile asilolipenda tena la pingu za maisha yake yote? Tena ambalo ni kinyume na sheria na...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  11. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu wana hofu juu ya utekaji, inasikitisha sana

    Wasalaam!, Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu. Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wana wazazi kweli?

    Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye atajisikiaje? Wengine wanalilia kupata mtoto na wengine wanasema nilizaa wa nini!
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    Habari za mchana. Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa. Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu. Au kama ni mwanamke anaachika ili tu arudi Kwa wazazi? Unakuta kijana anapambana lakini hatulii,anajikuta...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  15. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni uzungu wa kijinga

    Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa...
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

    Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi msiwachukulie poa watoto wenu kaeni nao chini, hawa ni wanafunzi wa form 2 wameachiwa nyumba,

  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Likizo time, kwa wazazi tu. Ushauri na maoni

    Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu. Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi. Inatokea watoto...
  19. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

    Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje? Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wazazi waeleza adha watoto 865 wakikikaa chini Mtambani Dar

    DAR. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msiungi Mtambani jijini Dar es Salaam, wameeleza adha ya watoto wao kukaa chini kwa kukosa madawati. Dar es Salaam. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani Bunju jijini hapa imefanya baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa...
Back
Top Bottom