wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed wa 5

    Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
  2. benzemah

    Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  3. R

    Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu.

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  4. DR HAYA LAND

    Wazazi hawana budi kuandaa kesho bora ya mtoto wao

    Kama umezaliwa umekuta wazazi wako wapo well financially, huwezi kulalamika kukosa ajira zetu hizi za laki Saba kwa mwezi. Mzazi/wazazi usifanye Mambo ya kuzaa tu ebu fikiria huyo unayemzaa umemuandaaje kuja kuishi vvizui. Binafsi mambo ya umasikini tunasema tumerogwa lakini Hakuna uchawi...
  5. Rwetembula Hassan Jumah

    Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  6. Madame S

    Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  7. To yeye

    Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

    Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya. Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa. Kiufupi...
  8. Wakili wa shetani

    Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  9. O

    Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

    Dodoma. Suala la watoto kulala na wazazi chumba kimoja linaelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili ya Kitanzania, huku umaskini ukitajwa kuwa sehemu mojawapo Kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo, baadhi ya watoto hukaa macho usiku kuangalia nini kinachotokea kwa wazazi wao au kusikiliza...
  10. BARD AI

    Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

    Suala la watoto kulala na wazazi chumba kimoja linaelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili ya Kitanzania, huku umaskini ukitajwa kuwa sehemu mojawapo. Kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo, baadhi ya watoto hukaa macho usiku kuangalia nini kinachotokea kwa wazazi wao au kusikiliza...
  11. Hemedy Jr Junior

    Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  12. Mhafidhina07

    Tukiachilia mbali umasikini /ufukara wa wazazi wetu ilishawahi kujiuliza unakwama wapi?

    Umasikini si ukilema ila ni hali ya kukosa mambo muhimu ambayo mtu unayahitaji katika maisha yako ya kila siku ,japo wapo watu wanajaribu kusema masikini ni kilema ila anaekosa hayo mambo muhimu anaitwa fukara,siwezi kubisha ila mtazamo wangu umependa kuamini nivyoamini. Nimeona kwa asilimia...
  13. D

    Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

    Wakuu habarini za jioni Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu. Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu Je, hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine Sasa kama walitenda dhambi...
  14. GENTAMYCINE

    Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  15. kwenda21

    Wazazi wakikulilia shida wasaidie

    Jamani please wazazi wakikulilia shida wasaidie hasa mama, siku nne zilizopita bimkubwa alifululiza kunipinga mizinga, juzi nikamkaushia, nikamwambia sina, ukweli nilikuwa nayo, nikaondoka zangu kwenda kwangu, kufika home nikasikia kunguru wanalia sana nyuma ya nyumba, kwenda kucheki kulikuwa na...
  16. Suley2019

    Wazazi si kila filamu ya katuni inawafaa watoto, tuwe makini

    Salaam ndugu zangu, Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo. Ni kweli kwamba filamu nyingi za katuni zimeundwa kwa ajili ya watoto. Lakini...
  17. BARD AI

    Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  18. Mohammed wa 5

    Ufaransa: Muswada unaozuia wazazi kuweka picha za watoto Mtandaoni wawasilishwa Bungeni

    Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria. Muswada huo utaipa Mahakama mamlaka ya kuwapiga marufuku Wazazi kuweka picha za Watoto wao mtandaoni ambapo wote wawili...
  19. Mohammed wa 5

    Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  20. Newbies

    Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

    Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani. Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu. Hili ni tatizo kubwa kwasasa...
Back
Top Bottom