Wazazi acheni uzungu wa kijinga

Wazazi acheni uzungu wa kijinga

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,436
Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja

Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio

Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa kesii, dogo ameruhusiwa kumiliki simu janja.. Soon ataliwa , mtoto wakishua wa huku Mbweni.

Haya bhanaa
 
Kuwa makini mkuu.Utauwawa bure.Wazazi tuna hasira.
 
Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja

Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio

Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa kesii, dogo ameruhusiwa kumiliki simu janja.. Soon ataliwa , mtoto wakishua wa huku Mbweni.

Haya bhanaa
Mh! kwahiyo watu wasiwape watoto wao simu kisa nyege zako!..🤣

Hili taifa lina watu wa hovyo sana!.
 
Hukupitia A' level mkuu ?....

Form 6 wengi tu wanakuwa na maex tayari kwa hiyo kuwa na sex patner ni kawaida. Ila kama wewe unajishtukia kuwa nae, ina maanisha hamuendani kiumri kwa hiyo wewe ndiye mwenye tatizo na hata wazazi wasingempa simu, bado kuna watoto ungewatongoza na kuwapa mimba mitaani..

Kwa hiyo Issue sio wazazi kumpa simu mtu aliyefikisha miaka 18, ila shida ni wewe kutaka kuhalalisha kitu ambacho unaona si sawa.
 
Nimesoma form 6.. ila mtoto wa kike kuwa na simu still bado mwanafunzi, inaleta ushawishi wa yeye kutongozwa baada ya kutoa namba.
 
Kwa hiyo mkuu, binti wa form 6 ambaye yupo step moja nyuma ya kuingia chuo ni wa kumnyima simu kwa sababu tu atatongozwa?....

je, akiwa hana simu itazuia yeye kutotongozwa ?..

fikiria huyo ni binti wa zaidi ya miaka 18
 
Nawaza ningekuwa na binti kisha nijue kuna mtu ameleta uzi kwamba atamla, kisa nimempa binti yangu simu janja ya kusomea notes, kujifunza masomo youtube!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom