“Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto.
Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla.
Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji.
Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na...
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake.
Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
Mpja kwa moja kwenye mada
Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha.
Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara.
Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea.
Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
kuhusu
mara
mara kwa mara
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
taarifa
wake
wasifu
wazazi
Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina.
Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali.
1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi...
Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985).
Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja).
Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi.
Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai.
“ Tuendelee kuwakumbuka na kuwaombea ndugu na wazazi waliotangulia mbele za haki ni jambo zuri na wajibu wetu tuliobaki...
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy
Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.
Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%
My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina
Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to...
Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado,
Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa...
Image source: Pinterest
Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto
Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu.
Mwandishi wa kitabu cha...
WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL
Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo.
Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani .
Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida...
Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu?
Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania?
Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa.
Back to the topic 👇👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.