Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma,
Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni...