Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo
Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona
Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama.
Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno.
Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za shamba ataishia kula chakula chako chote bila kukifanyia kazi yoyote.
Na hii imepelekea wengi wao...
Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika.
"Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini Matajiri (Watu waliofanikiwa) Hudhani Masikini ni Wavivu?”
Si Nasibu na Omari pekee ndio wamekuwa wakwanza...
Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi.
Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao
Yaani unaweza kati ya...
Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira.
Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa.
Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa kumaanisha unauwezo mkubwa kuliko wakufunzi wote wa VETA na wanafunzi wao.
Nimeona CHUO mtu anapewa...
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa.
Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
Maneno haya niliyasikia kutoka kiongozi mmoja wa Dini! Yalinifikirisha!yanipa uzito katika moyo!Yakaniachia kazi ambayo mpaka Sasa natumika nayo!
Nawaza ni kweli watanzania ni wavivu?
Je kigezo kipi kimetumika kupimwa uvivu huu?
Mbona umetajwa ka ujumla na kwa urahisi?
Nawaza kwa habari ya...
Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano
Wale wanaosema misaada ya US...
Habari wana JF,
Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa.
Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa.
Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
CAG mstaafu, Prof. Assad aliposema asilimia sitini ya watumishi wa uma hawana uwezo, Serikali ilijitokeza haraka sana kukana hilo.
Mbunge wa Kahama, Jumanne Kishimba aliposema kuwa asilimia tisini ya wasomi wetu wanajua tu kusoma na kuandika, watu wengi walimkejeli.
Lakini kwa hali ya mambo...
Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi.
Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi kukwapua fedha za miradi na za ofisi za umma. Majizi yametamalaki yanakomba na kufakamia.
Tunamtaka...
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko. Sitaki kujua ni stori ya kweli au ni uongo, lakini uhalisia upo hivyo.
Sasa hivi kwa tunaoishi...
Kumekua na hii dhana kwa mda mrefu sana kwamba waafrika ni wavivu ni uongo kwa sababu zifuatazo;
Waafrika wengi wamekatishwa sana tamaa mfano mzuri kuna wazee wengi sana wamestaafu wako katika majuto makuu wamefanya kazi kwa uamunifu mkubwa sana lakini wanastaafu hawana kitu wanajuta wengi...
Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo.
Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
Habari wadau.
Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata.
Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea.
Yale mambo ya kuoa mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.