Waua Islet is an island locality in the Torres Strait Island Region, Queensland, Australia. It consists of a single island, also called Waua Islet (also known as Wyer Island and Waier Island), one of the Murray Islands.
Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji mafuta.
'Wafanyikazi wa usafiri ni muhimu ili jamii zihudumiwe - haistahili waachwe bila ulinzi', ITF...
persecution of Christians is real …
Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.
Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu 9 na kuwajeruhi wengine 4 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu 9 na kuwajeruhi wengine 4 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Shambulio hilo limefanywa na...
Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces.
The slain soldiers are named as:
Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24.
Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa."
Hii ilikuwa Published...
Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo na kuiomba Serikali kupitia wataalamu wa afya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha vifo...
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisini kwake.
Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Barkaram, eneo kubwa lenye...
Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024.
Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha.
Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa Desemba 29.2023 Kaka wa mmoja wa marehemu hao aliyejitambulisha kwa jina la Omari Shomari ambaye...
Makundi yenye silaha yameripotiwa kuua watu zaidi ya 100 katika mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga miji ya katikati mwa Nigeria eneo lenye mivutano ya Kidini na Kikabila.
Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Bokkos, Jimbo la Plateau umeeleza mashambulizi hayo yamejeruhi zaidi ya Watu 300 na kuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
Hii yote kisa dini, watu wana imani za kiajabu sana................
A Ugandan national and two foreign tourists were killed in an attack by suspected Islamist rebels from the Allied Democratic Forces (ADF) in a national park, the police said on Tuesday.
"We have registered a cowardly terrorist...
Mbali na Watu 100 kupoteza maisha wengine 150 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka wakati wa sherehe ukumbini katika Wilaya ya Al-Hamdaniya, Mji wa Nineveh.
Chanzo halisi cha moto huo hakijabainika japokuwa taarifa za awali inadaiwa ni ulitokana na fataki kuwashwa eneo la tukio.
Bibi harusi na...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia.
Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao...
Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir.
Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni.
Mauaji hayo...
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi la kigaidi kufanya mauaji mengine katika eneo hilo lenye machafuko.
Kundi hilo la Allied Democratic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.