econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,998
- 27,564
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisini kwake.
Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Barkaram, eneo kubwa lenye mabwawa ambalo awali lilikuwa limefunikwa na maji ya Ziwa Chad kabla ya kupungua kwa ziwa hilo kwa kiasi kikubwa katika miongo ya hivi karibuni.
Soma pia:
Taarifa ya ikulu haikutaja washukiwa wa shambulio hilo la Jumapili, lakini eneo hilo liko karibu na mipaka ya Nigeria na Niger ambapo wanamgambo wa Kiislamu wanajulikana kufanya operesheni zao.