waua

Waua Islet is an island locality in the Torres Strait Island Region, Queensland, Australia. It consists of a single island, also called Waua Islet (also known as Wyer Island and Waier Island), one of the Murray Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ADF waua watu 17 Mashariki mwa DRC

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi la kigaidi kufanya mauaji mengine katika eneo hilo lenye machafuko. Kundi hilo la Allied Democratic...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad

    Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad region in Borno State. The incident reportedly happened at Mukdolo village located in Gamboru-Ngala...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wakamatwa kwa ujangili, waua Twiga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajihadi wanahisiwa kuua 28 Burkina Faso

    Ni mwendo wa kuua tu, Twenty-eight people have died in new attacks by suspected jihadists in Burkina Faso, including 15 who had been abducted at the weekend, the authorities said Tuesday. Fifteen bodies bearing bullet impacts were found on Monday near Linguekoro, a village in the western...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa SADC waua wapiganaji wa kiislamu 30

    Mpambano mkali baina ya wanajeshi wa SADC na wapiganaji wa kiislamu ambao humpigania 'mungu' wao umeshuhudiwa Msumbiji na hatimaye wapiganaji 30 wakawahishwa kule peponi..... The mission sent by the Southern African Development Community (SADC) to northern Mozambique to combat terrorism in...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Bweni la Shule ya Msingi Buhangija lateketea kwa moto na kuua wanafunzi watatu

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kagera: Polisi waua watatu waliodhaniwa kuwa Majambazi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu. Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
  9. Messenger RNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyanyasaji waua mabinti 85 wa Kenya Uarabuni

    Grace Kuria Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia. Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika nafasi ya Waziri wa Masuala ya Kigeni Dkt. Alfred Mutua, ambaye alisema wasichana hao walinyanyaswa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mufindi: Polisi waua watu watano kwa madai ni majambazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi. Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
Back
Top Bottom