watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    INTRODUCTION:- Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!! Hebu twende hoja.. Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!! Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU. Hivi mtumishi wa umma anakuaje na...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  4. stevenkatalas

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu August umetoka?

    Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

    Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe. Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa. Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  10. Madihani

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  13. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Kukurupuka kwa Serikali Kuanzishwa kwa Mitihani ya watumishi waliokazini

    Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa; 1. Mfumo wa ESS ulianzishwa kwa dhumuni la kupima utendaji kazi wa mtumishi baada ya kuondolewa mfumo...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Pesa ya mshahara haitoshi kwa watumishi kwa sababu kuu tatu!!

    Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu 1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo...
  17. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
  18. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

    Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu baada ya kupunguza migogoro sasa kinaongeza migogoro kwa mtumishi na mwajiri wake hasa serikali...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Fedha za kujikimu za watumishi wa ajira mpya 2025

    Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje?? Maana vijana wengi wamekuwa watu wa kukopa bila kujua watapata lini stahiki zao,wanaishi kwenye mwanzo mgumu kiasi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
Back
Top Bottom