watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kekundu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025. TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI...
  2. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mama anapunguza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma mabenki wao wanaongeza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma hili lakuangaliwa

    Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi walikuwa na asilia 13% 14% Baada ya mama kuanza angalia maslahi ya watumishi benki sasa asilimia zao...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washerehekea Siku yao Maalum- 'MOI DAY 2025'

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameadhimisha kwa furaha na sherehe maalum siku ya 'MOI DAY 2025' , tukio linaloadhimisha mafanikio makubwa ya taasisi hiyo katika kutoa huduma bora za Kibingwa na Kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kwa...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF Sio mfuko rafiki kwa watumishi. Wanufaika wanahangaika

    Habarini za wakati huu wanajukwaa. Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B. Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DAS Jacob Rombo: Watumishi Zingatieni Maadili, Serikali Inawaamini

    WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Kwa watumishi wa umma

    . MIKOPO Kwa watumishi wa umma ni MIKOPO mahususi Kwa wale wote ambao hufanywa kazi serikalini. Baada ya kuiona changamoto ya wafanyakazi wengi kuwa na uhitaji mkubwa wa hela hasa katika kujenga vyanzo vingine vya mapato tumeamua kutoa mikopo Kwa watumishi wa umma Kiwango cha kukopa Kwa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

    Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini...
  9. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    ….
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Habari za muda wakuu , poleni na majukumu, Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya umma watumishi wana hali mbaya, yet wanagawa gawio kwa serikali

    Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe? Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa azungumzia madhara ya kulazimisha watumishi wanyamaze, na wasihoji

    Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki." Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
  17. N

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kuogopa aibu iliowakuta CHAUMMA Mwanza, mkurugenzi wa Karatu awaandikia barua watumishi wote wa umma wahudhurie mkutano wa Amos Makala

    Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
  18. fh kwenye beat

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mizani (Tanroads )kutolipwa posho

    Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6. Kutokana na hili vitendo vya Rushwa vimekithiri juu ya ukata uliopo baina ya wafanyakazi na wasafirishaji. Natoa wito kwa viongozi...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali inakataza watumishi kuwa kwenye vyama vya siasa ila CCM inawafanya serikali kuwatumia watumishi kwenye siasa za CCM

    Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali. Hivi tutafika kwa maisha haya.
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji wa fedha wa kutisha unaofanywa na baadhi ya watumishi wa mchongo

Back
Top Bottom