watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Usalama na maadili ya CCM iwaengue Watumishi wa umma watakao toroka kazini kwenda kuomba uteuzi kugombea Ubunge bila kibali

    Ifanye hivyo ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wenye tamaa na kila nafasi ya utumishi na wasioridhika kuwatumikia wananchi kwenye nafasi wanazotumikia kwa sasa. Majuzi, jaji mkuu alitoa angalizo kwa watumishi wa mahakama wenye nia au kusudio la kwenda kutangaza nia kugombea ubunge au...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha kusimamia Uchaguzi kwa Watumishi wa Umma na uvunjaji wa Haki za Kikatiba za Watanzania

    Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa. 1. Haki ya Kazi Kikatiba: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kila Mtanzania ana haki ya kupata nafasi ya...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma

    Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma. Mradi huu unahusisha ujenzi wa nyumba 3,500 ambapo tayari ujenzi wa Awamu ya Kwanza ya nyumba 150 umekamilika kwa gharama ya shilingi bilioni 14.37 na tayari...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi iajiri watumishi watakaosimamia Uchaguzi Mkuu ambao siyo watumishi wa umma

    Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi ina maslahi gani na watumishi wa umma mpaka itake kuwaajiri wao tu kusimamia Uchaguzi?

    Wakuu, Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana. Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya), na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (nafasi tatu kwa kila jimbo) Soma pia: Tume Huru ya Taifa ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti yakinifu: Asilimia 85 ya watumishi wa umma wanabeti ili kulipa madeni na kujikwamua na maisha magumu

    Ingia maofisini kila jumatatu au kutana nao kwenye vikao vyao na maongezi yao..Utasikia Kachana mmoja tu... Maisha ya watumishi wa umma ni magumu sana na wana mikopo kila kona. Kuanzia kwenye mabenki hadi kausha damu za Uvccm. Sisi Walimu ndio wahanga wakubwa.
  7. immortanity

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kushikilia kadi za benki za Watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa ni kinyume cha Sheria

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria. Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
  9. boy lanugo

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Damas Nbumbaro: Rais Samia ameagiza mtumishi yeyote wa umma ambaye ndiye chanzo cha migogoro mimi nihangaike naye

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa ujumbe mkali kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro kwa kuwadhulumu wananchi, akisema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza hatua kali zichukuliwe dhidi yao. Akizungumza siku ya Jumanne, Machi 4, 2025, katika Uwanja wa TBA...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Watumishi wa Umma hawatakiwi kusimamia Uchaguzi kwa vile ni Watumishi wa Rais

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi na Rais wakati wowote akitaka wala bila kufuata sheria za Utumishi wa umma , na mtumishi huyo hana pa...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ina uzembe mkubwa sana kwenye suala la ajira, Kenya wanaidadi kubwa ya watumishi wa Umma kuliko Tanzania

    Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuliko Kenya, idadi kubwa sana ya watoto wanaosoma elimu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kimsingi watumishi wa Umma wanaopigia kura CCM wanalitendea haki Taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao. Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Katambi apiga marufuku tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye ulemavu

    Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi zao. Amekemea tabia hizo wakati wa maadhimisho ya siku ya maandishi ya nukta nundu kitaifa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  17. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi wa Umma dhidi ya matumizi ya mabilioni kusaka Ubunge

    Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu kuna mbilinge kubwa linaendelea ktk majimbo mengi hapa nchi. Fedha zinamwagwa Kama ulezi Kwa wananchi, wajumbe, wenyeviti n.k.. Si DSM, Songwe, Geita, Mwanza, kagera, Mara, Dodoma, Lindi, Tanga, Tabora, Chunya, Tarime, Simiyu, Kigamboni, Rungwe, Kibaha...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Ripoti zinaonesha zaidi ya 40% ya Watumishi wa Umma Tanzania hawafanyi kazi

    Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine? Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia? ------- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
Back
Top Bottom