watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Kwa watumishi wa umma

    . MIKOPO Kwa watumishi wa umma ni MIKOPO mahususi Kwa wale wote ambao hufanywa kazi serikalini. Baada ya kuiona changamoto ya wafanyakazi wengi kuwa na uhitaji mkubwa wa hela hasa katika kujenga vyanzo vingine vya mapato tumeamua kutoa mikopo Kwa watumishi wa umma Kiwango cha kukopa Kwa...
  3. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito kwa watumishi wa umma -2025

    Kwa heshima na taadhima napenda kuungana na watumishi wote wa umma Tanzania bara (Tanganyika ya zamani). Kupitia ujumbe wa mtumishi aiyesema amepanda madaraja mawili mpaka Sasa tangu awamu ya 6 ilipoingia madarakani -2021. Kwa kweli hilo ni jambo jema kwake binafsi, ukoo wake na familia yake...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

    Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
  7. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma zidisheni uzalendio

    Inasikitisha raisi wa nchi anatetea wizi wa mali za umma. Hahaa hapa tuna kazi kwa kweli. Watumishi wa umma tuna waomba mzidishe kutoa ya sirini ili tuzidi kupata mwanga na mwangaza sisi watanganyika wa chini. Nimesononeka na kuumia sana. Kumbe Limama linabariki unyang'anyi bila aibu wala...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA kuweni makini na mikopo ya muda mrefu pamoja na baadhi ya taasisi

    Habarini za wakati huu! Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24. Ingawa sijajua wanatoa wapi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yamshtaki RC wa Mjini Magharibi kwa kutaka Watumishi wa Umma kumkabidhi nakala za Vitambulisho vyao vya Kupigia Kura

    YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza. Chama cha ACT-Wazalendo kinawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya kauli na agizo lililotolewa na Mkuu wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SIKIA hii ya 370 000 hadi 500 000 kwa watumishi wa umma.

    Naamini imekuwa ni shangwe kwa watumishi husika kwa ongezeko la mshahara kwa 35% ambayo ni kutoka 370 000 hadi 500 000 ambayo ni sawa na 130 000, Kitanzania hii pesa inaweza kuwa kubwa kulingana na mahitaji yetu ya kila siku ambayo ni ya lazima(pia hutegemeana na mtu), Lakini pia inaweza kuwa ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili. Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma mmeelewa alichokisea Samia au tuwaulize mwezi Julai?

    Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Zanzibar ataka uhakiki wa Vitambulisho vya Kura kwa Watumishi wa umma

    Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka watumishi wa umma wa mkoa huo kuwasilisha nakala za vitambulisho vyao vya kupigia kura mara zoezi la uhakiki litakapoanza. Amesema hatua hiyo inalenga kubaini idadi ya watumishi wa serikali ambao hawakujiandikisha kwenye...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
  16. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  17. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

    Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza. Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Pasaka bila salary (watumishi wa umma)

    Nimeambiwa na jamaa zangu watumishi wa umma kuwa hawajapata mshahara hivyo hii pasaka kwao ni motrooo. Poleni wazee wa kuisubiri salary.
  20. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikupendeza wajazeni watumishi wa umma mshahara kesho kwa ajili ya Pasaka

    Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
Back
Top Bottom