watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Separatus Fella awaasa Watumishi wa Umma kuhusu Ulevi na Rushwa

    Separatus Fella Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wapya 80 ambao wameajiriwa hivi karibuni ikiwa ni Mpango unaoandaliwa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu katika kuwaandaa waajiriwa wapya kuendana na Misingi ya Maadili ya Utendaji kazi katika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zembwela: Watumishi wa umma si tu kwamba hawamuogopi Waziri Mkuu, bali pia wanamdharau

    Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii sera ya kushirikisha sekta binafsi tuwe nayo makini tusije tukawanyima fursa watumishi wa umma hasa wanaotegemea activities wapate hela

    sikatai kweli utendaji kazi wa serikali upo chini ya kiwango lakini ikumbukwe sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Maslahi duni na kufanya watumishi kuchoka choka Madeni waliyonayo yanawatia stress Uongozi mbaya unakuta top management wanakula wao tu huku wafanyakazi wa chini wakibaki kuangalia na...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wa Umma mliopo Njombe huwa mnaenda kazini kila siku?

    Sujui niwekeje swali. Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi. Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees. Yaani inakuaje kuaje. Asubuhi mtu unaamka, unaoga na kuwahi kazini au mnatumia ujanja gani kupambana na hii hali?
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Usawa katika Ajira za Watumishi wa Umma

    Muktadha Hali ya ajira ya watumishi wa umma kati ya Tanganyika na Zanzibar inahitaji uchambuzi wa kina. Kuna dalili kwamba kuna ukosefu wa usawa, ambapo watu kutoka Zanzibar wanaonekana kupata nafasi nyingi zaidi katika ajira za umma upande wa Tanganyika. Masuala Muhimu 1. Ukatili wa Usawa...
  6. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya waajiriwa serikalini inaumiza. Benki gani inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali?

    Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa 1. MKOPO-16,000,000/ 2. MUDA-MIEZI 60...
  7. Paroko2024

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo kwa watumishi waliopo mbali na wenzi kwa sababu ya Utumishi wa Umma

    Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii...
  8. kekundu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fanyeni uhamisho wa Maafisa Utumishi wa Halmashauri, waliokaa muda mrefu utendaji wa kazi kimazoea

    TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea. Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usisaini marekebisho ya Sheria ya Kukata Watumishi 10% ya Mishahara. Huo ni mtego mbaya sana kwako

    Inasikitisha sana kuona Bunge la Tanzania likipitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kuchangia mifuko hiyo. Kitendo hicho kitaleta athari kubwa sana kwa watumishi wa umma ambao wanachekelea kupandishwa...
  11. Gyver 03

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma na masuala ya siasa

    Inakuaje watumishi wa UMMA wanalazimishwa kudhulia mikutano ya SIASA
  12. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

    Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa...
  13. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunazaliana wengi mno, mahitaji makubwa mno ndio maana kila tukiajiri Watumishi hawatoshi

    DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo kuhudumia Watu wengi na zina mambo mengi. Akizungumza katika Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa...
  14. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Hasara za PEPMIS kwenye haki za watumishi

    Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku. Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi mkifanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi washuhudieni watu ili waache kuleta nyuzi za kulalamika humu

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

    Habari za jioni, Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma. Ahsanteni.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa pensheni kwa watumishi wa umma hasa Mawaziri baada ya kutenguliwa nafasi zao

    Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao. Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
  19. ClearingAgent

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa ushuru kwa vyombo vya usafiri(magari/pikipiki) kwa watumishi wa Umma

    Utangulizi Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki). Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha (a) Magari (b) Pikipiki za aina zote Ushuru unaosamehewa...
  20. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa akemea utendaji usioridhisha wa Watumishi wa Afya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya utumishi. Maelekezo ya Mhe. Mchengerwa yametolewa kwa niaba na Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii...
Back
Top Bottom