Watumishi wa umma mjijenge kisaikolojia, ya Kikwete hayatajirudia milele

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Nawasihi watumishi wa umma hamtarejea Tena alipowatoa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais magufuli amewahisha anguko lenu ambalo kiukweli lilipaswa kuja baada yake. Kimsingi mtaloose kuanzia sasa mpaka kizazi Cha 15 yrs to come hivyo ambao mlikuwa mnalewa anzeni kujenga na kuweka vitega uchumi, hali si hali teeena.

Superbug.
 
Facts tunazotakiwa kuishi nazo:

Kuna Uwezekano hata ile Miradi Mikubwa ya serikali isikamilike katika kipindi chake chote cha Uongozi uliobakia,
Atakuwa kiongozi wa kwanza kutuacha na madeni kuliko kiongozi yoyote aliyepta so far,

Kuna uwezekano pia kuja kutengwa na jumuiya ya Africa mashariki na kwingineko, huko mbeleni. Kuna wakati itafika serikali itashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao, hili linakuja soon.

Tusishangae karibuni kuona viongozi wakuu wastaafu wakivunja Protocols za kumsema Hadharani. Dini zitakuja tumika kama mifano hai kipindi hiki huko mbeleni,kama they are useless.
 
superbug,

Haya ya huyu ni yake, mtu mwenye akili timamu hawezi kuendeleza uhayawani huu kwa watumishi
Nakutahadharisha mmerudi zero mpaka mrejee alipowaacha JK sio Leo usikariri jiwekee akiba kwa familia yako jiulize magufuli hakukujali miaka minne nyuma kabla ya korona atakujali miaka yake mitano ya post korona na ambapo anajua Hana Cha kupoteza? Kuwa na akili usibalehe kipindi hiki Cha masika.
 
nasema akishaondoka. mimi nawalilia watoto wangu, nimetoka serikalini 19 yrs back
 
Facts tunazotakiwa kuishi nazo:

Kuna Uwezekano hata ile Miradi Mikubwa ya serikali isikamilike katika kipindi chake chote cha Uongozi uliobakia,
Atakuwa kiongozi wa kwanza kutuacha na madeni kuliko kiongozi yoyote aliyepta so far,

Kuna uwezekano pia kuja kutengwa na jumuiya ya Africa mashariki na kwingineko, huko mbeleni. Kuna wakati itafika serikali itashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao, hili linakuja soon.

Tusishangae karibuni kuona viongozi wakuu wastaafu wakivunja Protocols za kumsema Hadharani. Dini zitakuja tumika kama mifano hai kipindi hiki huko mbeleni,kama they are useless.
kuhusu miradi hilo sio la kuuliza hakuna kitu lipo wazi...ndio maana kapanic..
 
Facts tunazotakiwa kuishi nazo:

Kuna Uwezekano hata ile Miradi Mikubwa ya serikali isikamilike katika kipindi chake chote cha Uongozi uliobakia,
Atakuwa kiongozi wa kwanza kutuacha na madeni kuliko kiongozi yoyote aliyepta so far,

Kuna uwezekano pia kuja kutengwa na jumuiya ya Africa mashariki na kwingineko, huko mbeleni. Kuna wakati itafika serikali itashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao, hili linakuja soon.

Tusishangae karibuni kuona viongozi wakuu wastaafu wakivunja Protocols za kumsema Hadharani. Dini zitakuja tumika kama mifano hai kipindi hiki huko mbeleni,kama they are useless.
huu utumbo umechukua wapi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyuzi zingine buana ukizitafakari Sana, unaona kabisa ni Sawa na maongezi ya wapenzi waliokutana kila mmoja akiwa na Nia mbaya ya mwingine, basi kitakachoendelea ni kuongopeana na kupeana miadi ya uwongo uwongo tu ili kila mmoja akitoka hapo basi akaendelee na ratiba zake anazozijua

Blah blah nyingi
 
Kipindi kile alisingizia uhakiki kwa miaka 4, Sasa hivi atasingizia Covid-19 imeharibu uchumi kwa miaka 5. Ukweli ni kuwa huyu jamaa ni hopeless.

Si mtu mzuri kwa maisha ya watumishi.
 
Nakuelewa mno mkuu.Hakika unalosema ni sahihi kabisa.Na sio wao tu,kiujumla watanzania wote wasitegemee lolote jipya kutoka kwa huyu kiongozi,naamini hata waliompigania awepo hapa alipo watakuwa wanaumia sana,tumuombe sana Mungu atunusuru na hili balaa.
 
Back
Top Bottom