watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Mikopo ya Mabenki kwa Watumishi

    Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10 na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi. japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila...
  2. K

    KERO Watumishi Kada ya Elimu Manispaa ya Ubungo hatupewi fedha za Likizo, wanaishia kutujazisha fomu tu

    Sisi ni Wadau wa JamiiForums natokea Manispaa ya Ubungo Kada ya Elimu Kero yetu ni Juu ya Pesa za Likizo tangu nihamie Manispaa ya Ubungo ni Mwaka wa tano lakini mpaka leo hatujawahi kupewa hela ya likizo tunaishia tu kujaza fomu hatujui hizo hela anapokea nani kama kweli zinatoka. Tunaomba...
  3. A

    KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  4. A

    KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  5. A

    KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  6. A

    KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  7. A

    KERO Watumishi Nzega DC tunaomba kupewa Barua zetu za kuthibitishwa kazini

    HABARI JAMII FORUM. POLENI NA MAJUKUMU NAOMBA UTUPAZIE SAUTI SISI WATUMISHI WA NZEGA DC TUMEAJIRIWA TANGU MWAKA 2024 ILA MPAKA LEO TUNAZUNGUSHWA KUPEWA BARUA ZETU ZA UTHIBITISHO TUMEMUULIZA MPAKA MKURUGENZI HATUPI MAJIBU YA KUELEWEKA WALISEMA MPAKA BARAZA LA MADIWANI LIKAE NDIO WATUTHIBITISHE...
  8. S

    Wanaomlilia Magufuli na kumchukia Samia, ni wanafiki wakubwa

    Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai...
  9. A

    KERO Waziri Mkuu anapofanya ziara, awakumbuke watumishi wa Halmashauri

    Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
  10. A

    DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  11. figganigga

    Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  12. M

    MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA

    habari ikiwa wewe ni mtumishi wa umma yaani unafanya KAZI serikalini, umeajiriwa serikalini basi una nafasi ya kukopa mpaka milioni 20 padipokuwa na mdhamana wowote zaidi ya KADI YA benki na username and password ya CS # kiwango Cha kukopa huanzia laki Moja hadi milioni 20 # hakuna mdhamana...
  13. baz kaiza

    Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  14. A

    KERO Responded Watumishi wa Mkataba Hospitali ya Sinza Palestina tunacheleweshewa mishahara, kila tukiuliza wanasema “Next week”

    Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam. Kero yangu ni kwamba Watumishi kuanzia Wauguzi wasaidizi (nurse), Madaktari wote wa Mkataba tunakumbana na changamoto ya...
  15. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  16. A

    KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  17. Keynez

    Watumishi wapya wa serikali wanakaribishwa kwenye utumishi kwa kuambiwa wakawe wafanyabiashara

    Kwa siku za hivi karibuni nimekutana na video kadhaa za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akiwa katika warsha ya kuwakaribisha watumishi wapya wa umma. Cha kushangaza, video hizo zimejaa mafunzo kwa watumishi hao jinsi gani wanaweza kuwa wafanyabiashara na wakulima. Sijaona mafunzo ya...
  18. A

    KERO Watumishi Kasulu DC tulioajiriwa 2024 hatujathibitishwa kazini mpaka sasa Februari 2026

    Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini. Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa kikao, hivi tunaanza mwaka wa pili sasa hakuna sababu maalumu ya kutothibitishwa. Ukihoji sana...
  19. H

    Waziri Kombo asisitiza ufanisi na uadilifu kwa watumishi wa wizara

    WAZIRI KOMBO ASISITIZA UFANISI NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA WIZARA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasisitiza watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi, uadilifu...
  20. Roving Journalist

    Waziri Shemdoe: Marufuku kuhamisha Watumishi wenye changamoto za nidhamu, washughulikwe kinidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
Back
Top Bottom