Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau"
:
Kuhusu kutoweka Francis Luumi ambae ni Mwenyekiti wa Bazecha Jimbo la Babati Vijijini na aliyekuwa Diwani wa kata ya Endakiso, Babati Vijijini.
Tarehe 16/07/2025 baada ya kesi ya Mhe. Lissu kuhairishwa aliaga watu aliokuwa nao Mahakamani kwamba anaelekea Shekilango wa ajili ya kupanda Bus la...
Wakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?"
"Haijawahi kutokea duniani kote...
Watu wasiojulikana wamemteka na kumuua kinyama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Magufuli High School iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.
Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Cuthbert au BIG alitekwa siku tatu zilizopita baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita...
Wakuu
Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.
===
Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''
na kuambatisha ujumbe...
Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee.
Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliokuja na Landcruiser Nyeupe
Manase Daniel Batwenga (39) ni mfanyabiashara wa vipuri huko mjini Kigoma, alitekwa na kupotezwa mnamo Februari 10, 2025. Watu wenye silaha, ambao hawakujitambulisha walifika ofisini kwake wakiwa na...
Death Squad
A death squad is an armed group whose primary activity is carrying out extrajudicial killings, massacres, or enforced disappearances as part of political repression, genocide, ethnic cleansing, or revolutionary terror. Except in rare cases in which they are formed by an insurgency...
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na...
Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect huenda ikaongezeka na kwa wengine na ikawa kali zaidi.
====
Marekani imesikitishwa sana na...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania.
katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
Wakuu,
Majuzi Rais Samia alivyochamba 'wanaharakati' waliokuja kwaajili ya uangalizi wa kesi ya Lissu, aliviambia vyombo vya dola vichangamke katika kutoa majibu pale madai yanapozuka lakini pia aliwaambia vyombo hivyo viwadhibiti hawa watovu wa nidhamu, waishia kutovuka huko walipotokea na si...
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake
Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye...
Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa
KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k.
ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
Wakuu!
Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona"
kwanza kutekwa ni kupi ?
Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa.
Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA
Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino...
Wakuu!
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.