watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Hatusikii walioapa kulinda Uhai wa Watanzania Kulaani au Kukomesha Utekaji na Kutoweka kwa watu

    Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi ya Polisi na Vyombo vya Uchunguzi ni nini kama mtu akitoa taarifa anatakiwa atoe ushahidi?

    Wakuu, Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Toka Oktoba 1 hadi 9, 2025 wametekwa watu 13! Ni karibu watu wawili kila siku!

    Salam Wakuu, Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni! Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
  4. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Polepole ameamua kuichezesha familia, madai ya kutekwa ni kuishiwa mbinu za kuichafua dola

    Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram. My take Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri. "Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake Instagram Maria ameandika kuwa kijana Rogers Yohana Ludovick ametekwa Oktoba 7, 2025 katika eneo la Dumila, Kilosa mkoani Morogoro. Tukio hilo lilitokea majira ya saa saba mchana baada ya gari jeupe aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili T324 ELK kufika ofisini...
  7. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

    Sina maneno mengi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu. Inafahamika, nyie hamuegemei popote. Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na...
  9. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana tunaoamba msiwe na upendeleo, hebu mkamateni Tesha anamletea nywi nywi mama yenu

    Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia kizi tunaoamba watu msiojulijana msiwe na upendeleo hebu kamtekeni Tesha analeta nywi nywi.
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hilda Newton: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chadema Wilaya ya Busega ametekwa na watu wasiojulikana

    Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii ================== Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

    Katika kila taifa linalojitambua, Jeshi la Polisi ndilo nguzo kuu la amani, usalama na mshikamano wa kijamii. Polisi hupewa jukumu la kulinda raia na mali zao, kuhakikisha sheria zinafuatwa, na kuwa ngao dhidi ya vitisho vya ndani na nje. Hata hivyo, maneno yanapotoka kinywani mwa viongozi wa...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa taarifa waliomua Shyrose Mabula

    Mnamo Septemba 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula [21] aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na watu wasiofahamika, ambapo Septemba 16, 2025 saa 5:00 usiku huko Mtaa wa Morovian uliopo Kata ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kiduku Ofisa Ngiri mtumiaji wa mtandao X zamani twitter achukuliwa na watu wasiojulikana

    Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu. Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Polisi mtafuteni Sativa, ni mhanga wa utekaji, chukueni maelezo bila kumtisha

  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

    Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha. Taarifa zaidi kukujia
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Mtoto atekwa na watu waliokuwa kwenye bodoboda maeneo ya Goba, Dar asubuhi akielekea shule

    UPDATES: Mtoto alipatikana jana Julai 26 akiwa anasafirishwa kwenda Tanga. Mtoto huyu ametekwa nyara leo asubuhi maeneo ya Goba kwa Awadh. Anaitwa Patrick Pascal Luzwilo, mwanafunzi wa shule ya Vein Academy iliyopo Goba. Leo asubuhi alikuwa getini na dada wa kazi akisubiri gari la shule...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema "Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa, Watu wanatekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu wanavyokamatwa kwenye msafara wao"
Back
Top Bottom