Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi...
Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).
Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo mbalimbali bila mafanikio. Oktoba 29, 2025 mwanae aitwae Stephano akaamua kuandamana kama sehemu ya...
Wakuu,
Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena.
Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa zaidi ya wiki 3 na alichiliwa siku ya maandamano.
Najiuliza tu hivi unawezaje kumuweka mtu ndani...
Wanabodi
Hii ni the voices from within, unaisikia tuu sauti, inakuambia jambo fulani, sauti hiyo haikuambii sababu yoyote, wala huwezi kuiuliza chochote, ila hicho sauti hiyo inacho shauri, kisipo fuatwa, then, usually the consequences follows and sometimes is devastating!!.
Hii The Voices...
Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana.
IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe.
Mbali na kuwakanya wamepewa na...
faustine mafwele
jumanne muliro
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
muliro na mafwele
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
utekaji na mauaji
utekaji tanzania
watuwasiojulikana
Wakuu,
Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Wakuu,
Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.
Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.
Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake
Taarifa...
Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka.
Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
freedom of speech
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
uchaguzi 2025
uhuru wa kujieleza
uhuru wa maoni
utekaji tanzania
utekaji vijana wakosoaji
watuwasiojulikana
Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike!
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
Godbless anadai amekuwa akifuatiliwa na watu wasiojuilikana, Lema ameandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ujumbe huu....
Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa nikifuatiliwa na watu wasiojulikana wanaotumia gari ambalo limekuwa likizunguka maeneo ninayoishi na kufuatilia mienendo yangu...
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Alhamisi, Oktoba 16, 2025, kuhusu kupatikana kwa miili ya watu wanne kando ya barabara ya Mapinga, Kibaha miili hiyo ilionekana kuwa na majeraha usoni na miguuni.
Global TV ilifunga safari mpaka kwa mzazi wa mmoja wa marehemu, Ashura Simba, mama...
Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
Wakuu,
Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
Salam Wakuu,
Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni!
Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.