watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wasichana Takriban 35 waokolewa katika "kiwanda cha watoto"

    Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito. Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
  6. JamiiForums Tanzania 80% watoto wa Gaza wana Ugonjwa wa sonona

    Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli Ripoti ya Shirika la Save the Children imeeleza hayo baada ya kufanya utafiti wa zuio hilo ambalo lilianza Juni 2007. Watoto 800,000 wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake ambao walikuwa tayari kufa kwa ajili ya watoto wao?

    Wakuu habarini za majukumu? Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi nililokuwa ninalisubiria kuchelewa kufika na hivyo nikajikuta nazoeana na baadhi ya abiria niliokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

    This is sad, Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza... Haya ni maamuzi ya kukurupuka, una uhakika huyu 'mtoto' yuko kwenye 'ajira'rasmi? Sana sana utawashawishi watoto wasifocus na shule waingie mtaani kutafuta ajira, unskilled jobs. Huwezi ukafanya mambo( kodi) kama nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  10. JamiiForums Tanzania ILO: Umasikini unachangia tatizo la ajira kwa Watoto

    Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
  12. JamiiForums Tanzania Watoto miguu vifundo wanatibika wapelekwe hospitali

    Watoto 3,000 katika vizazi hai huzaliwa na miguu vifundo Kila mwaka Nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu Hospitali ya CCBRT, Cyprian Nyomoka Jijini Dar es Salaam. "Watoto laki nane katika vizazi hai, huzaliwa kila mwaka Duniani wakiwa na miguu vifundo, huku Tanzania watoto laki tatu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Elimu; Crash program shule za msingi zinatuharibia watoto

    Hivi karibuni kumejengeka tabia ya shule nyingi za msingi, hasa za binafsi kuanzisha masomo ya ziada yanayoitwa CRASH PROGRAM. Programu hii huhusisha masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule za msingi wa darasa la nne na la saba (hata la sita) kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

    Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu Au mnasemaje masela ? Tuuze nchi tugawane mahela ? Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
  16. JamiiForums Tanzania Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba. Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa watoto wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wa kweli wa mjini

    Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo. Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini. Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine. Otherwise kama ukuyapiga hayo ukiwa Dar elewa we mluga mluga tu sio wa mjini: Vinginevyo wenyewe...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wafanya maonesho ya mavazi ya kikabila ya Hanfu ili kuonyesha uzuri wa utamaduni wa jadi

    Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China. Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri wa mavazi ya Hanfu na utamaduni wa jadi wa China. Kutokana na shughuli hiyo, watoto walijifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…