Je, unaweza kufikiria maisha yako na mafanikio yako bila elimu uliyopata? Watoto wengi duniani, ikiwemo Tanzania, wanaibiwa fursa za maendeleo zinazoletwa na elimu bora kwa sababu wanasukumwa kufanya kazi ili kupata riziki ya kifedha.
Kwa mujibu wa UNICEF na ILO, takribani mtoto 1 kati ya 10...