watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  2. Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
  3. Watoto 7 wafariki kwa mlipuko Nchini Togo

    Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
  4. Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

    Kwema Wakuu! Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu! Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki. Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na...
  5. Watoto 13 wafariki kwa njaa Ethiopia

    Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa...
  6. Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  7. Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

    Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri. Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
  8. Madhara ya talaka

    Habari zenu, Leo napenda kuongelea madhara ya talaka watu wengi sikuizi ndoa wanachukulia Kama ni maisha ya mpito na wengi wao wanajifikilia wao ukweli ni kwamba watu wengi wanakosea Sana wanapo dai talaka bila kujali watoto ambao Wana wategemea na hao wanaiga mfumo wa maisha ambayo niny mliya...
  9. Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi. Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
  10. Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  11. Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
  12. Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza kuwa upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana umefanyika kwa mafanikio. Watoto hao Rehema na Neema walikuwa wameungana kifuani na upasuaji huo umefanyika leo Julai Mosi, 2022 chini ya Wataalam wa Afya 31. Awali, Mtaalam wa Magonjwa ya...
  13. Watoto pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili, leo Julai 1, 2022

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo inatarajia kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha pacha walioungana kifuani. Upasuaji huo unakadiriwa kutumia saa saba na utafanywa na wataalamu wa afya 31 kutoka Tanzania na Ireland ambao wanatokea Shirika la Operation Child Life. Tanzania itakuwa nchi ya...
  14. Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

    Habari ndugu zangu Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo. Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua...
  15. M

    Halima na wenzake lazima watoboe. Msijidanganye kama watoto. Ukweli utajulikana nani alipeleka barua NEC

    Mnajipa moyo kama watoto. Mnataka kusema akina Halima walifoji barua ya kujiteua? 🤓🤓🤓 👇
  16. Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  17. Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  18. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  19. Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  20. Nigeria: Wasichana Takriban 35 waokolewa katika "kiwanda cha watoto"

    Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito. Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…