Madhara ya talaka

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Habari zenu,

Leo napenda kuongelea madhara ya talaka watu wengi sikuizi ndoa wanachukulia Kama ni maisha ya mpito na wengi wao wanajifikilia wao ukweli ni kwamba watu wengi wanakosea Sana wanapo dai talaka bila kujali watoto ambao Wana wategemea na hao wanaiga mfumo wa maisha ambayo niny mliya ishi na waswahili husema "maji hufwata mkondo" matokeo yake au madhara yake moja.

Mtoto anakosa malezi yaliyo Bora kutoka kwa wazazi wake kwa maana ipi mtoto ili awe na malezi Bora Yale yanayo kubalika na Jamii familia au wazazi wanatakiwa waungane kumlea mtoto ambapo wakishilikiana katika malezi ndio tunapata watoto wenye tabia mzuri.

Mtoto anakosa mapenzi au upendo kutoka kwa baba au mama waty wakisha talakiana mtoto anakosa mapenzi Yale ambayo baba au mama alitakiwa kumpa kwa wakat uho ndio maana leo unakuta mtu Ana pesa Ila haoni humuhimu yeye kumsaidia baba yake au mama yake kwa sababu hakupata ule upendo kutoka kwa baba na mama yake kwaio unakuta Ana msamini Sana baba au mama au Bibi.

Leo naishia hapo Nakalibisha Maoni.

1657011353404.png
 
Watoto huathirika kisaikolojia,kihisia,huweza kuathiriwa pia uhusiano wao kiimani(kiroho). Kifupi talaka ni njia ngumu sana ya maisha kwa watoto na ndio sababu vitabu vya dini kama Bible inasema Mungu anachukia kuachana,lakini kwenye Quran pia inataja madhara mpaka mbingu na ardhi sinavyo taabika watu wakiachana.
 
Back
Top Bottom