watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika hawawapi jina la Yesu watoto wao?

    Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
  2. JamiiForums Tanzania Dr Ayoub Rioba, afanye exclusive interview na Pascali Mayala, sio hao Watoto!

    Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai, Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka...
  3. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.

    Hellow wana JF. Ukioa/olewa na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu. Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi...
  5. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Watoto 160 wamezaliwa kwa upandikizaji mimba

    DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Si Watoto wanaouza Mayai pekee wanasota hadi usiku, hata wanaouza dukani pia nao waangaliwe

    Changamoto ya watoto kutumikishwa shughuli mbalimbali hadi nyakati za usiku, siyo kwenye kuuza mayai tu, lakini pia hadi katika sekta ya dukani pia kuna watoto wadogo wanafanya kazi hadi saa 16 kwa siku. Pia soma ~ Waziri Gwajima, fuatilia wimbi la watoto wanaofanyishwa biashara ya kuuza mayai...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

    Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Mkunde Pori na Mziwaziwa: Suluhisho kwa wanawake wanaotafuta watoto

    ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Mizizi ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe DH wanalazimisha kupandisha mapato kwa kuwatoza TZS 50,000 Mama wanaojifungua Watoto Njiti

    Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kuna malalamiko kuwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, Katavi, wameanza kuwatoza fedha akina mama wanaojifungua watoto njiti kwa madai ya gharama za matumizi ya oksijeni, hatua inayolenga kuongeza mapato ya hospitali. Hata hivyo, baadhi ya wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Roho Kuukuu: Watoto Wenye Busara za Wazee

    Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza? Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi duniani zamani, zikafa, zikarudi tena kwenye miili ya watoto. Wanapenda kukaa na watu wazima kuliko...
  11. JamiiForums Tanzania ISIS iliua watoto wa mama hawa mateka. Ikapika miili yao na kuwachanganyia na wali kuwapa mama zao. Wamama walipogundua hil wengi walijiua kwa uchungu

    Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao. Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja. UTU na UBINADAMU zero, USHETANI 100%
  12. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini bill gates anaitwa neno la kashfa mnywa damu za watoto, ili neno ni kwamba ..

    Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo. Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto. Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

    Hivi hii slogan ya nazaa watoto waje kunisaidia imekaaje? Baadhi ya wazazi, hasa wale wa ukanda wa pwani nilikokulia mimi, utashangaa mzazi anazaa watoto wengi ambao wakati mwingine unaona kabisa uwezo wa kuwalea hana Ukimuuliza utasikia anasema: Tajiri na mali zake, maskini na wanawe Hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mzimbabwe aua mke na watoto na kutoroka UK

    Polisi wamtaja jamaa anayesakwa kwa mauaji ya mke na binti zake Polisi wametoa picha ya CCTV ya mshukiwa wa mauaji anayeaminika kumuua mkewe na binti zake wawili kabla ya kutoroka Uingereza. Miili ya Nothabo Zandile Tshuma, 42, na binti zake Natalie, 15, na Nala, 5, ilipatikana baada ya polisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…