watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  2. B

    KAMA WAZAZI NA PIA WATOTO KUNA LA KUJIFUNZA HAPA.

    Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
  3. Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  4. Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  5. RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  6. Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  7. Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  8. Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  9. Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

    Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake. Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto. Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa...
  10. Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  11. Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  12. Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  13. Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  14. Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

    Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates. Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda. Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
  15. Acheni kuwatelekeza watoto wenu kwa bibi zao

    MHADHARA (87) 👁️Ewe mwanaume; Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha na fursa nyingi za maisha kwasababu ya muda mwingi atakuwa kwenye malenzi ya mtoto bila baba...
  16. Kumbe na kuna wanawake wanawakataa watoto wao

    Hii imeniumiza sana story ya huyu dogo
  17. Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
  18. J

    Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

    Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia Karibuni sana https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
  19. Mpaka leo tarehe 23.02.2025 huyu mama hajapeleka watoto shule kisa hana ada, ukimwambia shule za serikali zipo anasema hawezi kufanya huo ujinga

    Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA. Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu...
  20. Kuna haja ya wazazi kuwaaandalia watoto wao mazingira ya kazi kama ilivyo jamii za kipemba ,kiarabu na kihindi.

    Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira. Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa . Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…