watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Muhammad jina lililoongoza kupewa watoto waliozaliwa mwaka 2024 Oslo, mji mkuu wa Norway

  3. JamiiForums Tanzania Ni Bora aheri mara elfu uwape watoto yatima na wasiojiweza kuliko kukichangia hiko chama. 🚮

    Nasema wazi usijichumie dhambi Bure... Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam, katika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

    Jamani umasikini umefika huku hata baiskeli ni za kizamani
  5. JamiiForums Tanzania Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

    Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

    Wakuu, Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto. Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  9. JamiiForums Tanzania Presha ya baba zao ilivyowaondoa mchezoni mapema Watoto wa Beckham, Zidane na Totti

    Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza. Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti...
  10. JamiiForums Tanzania Singo maza acheni kuingiza watoto kwenye vita za watu wazima

    Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai" Sawaa Mimi bagia unaninywea chai, ila nawew kitumbua ninakinywea uji ..shwain kabisaa!!
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu kupeleka watoto kusoma nje ya nchi

    Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya 1. Wanaolewa bila kupenda 2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga 3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi 4...
  12. JamiiForums Tanzania Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

    Wakuu Katika harakati zangu wiki iliopita saa 12 asubuhi nilikutana na hii gari ya watoto wa nursery imepigwa tinted vioo vyote(hadi cha dereva) ispokua kioo cha mbele. Kwa kushamiri kwa matukio ya unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto, hili linawezekanaje? Unamlaumu nani 1. Kwanini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Family time ya kiafrika ni baba asiwepo ndio watoto wanakuwa huru, Baba ukiwepo akijumuika kunakuwa hakuna uhuru

    Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie anaonekana kufaa zaidi kwenye family time iwe ni kukaa pamoja sebuleni, kula pamoja, kwenda out...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

    Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo upande wa CHADEMA.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuhusu Mbowe kwenda CHAUMA, Bwege alishasema: "Amewatanguliza Watoto Kama Bata"

    Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu. Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Utulivu: Niende nchi gani yenye watoto wazuri?

    Uzi tayari.
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania hamjagundua kua Marais Waislam wanakasumba ya Kurithisha Uongozi Watoto wao?.

    Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?. Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?. Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?. Wako wapi??. Sasa pimeni hili, Tazameni...
  19. JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto

    Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa wanafki kuonekana wema lakini suluhisho la kunyimwa unyumba muda mrefu na kukosa watoto ni kuongeza mke au kuvunja ndoa

    Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto. Kama ni mwanaume -Ongeza mke -Vunja ndoa oa mwengine Kama ni mwanamke -Omba talaka uolewe upya Tuache kujifanya wema kwa unafki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…