watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Tuwatambue watoto wa nje ya ndoa kwani ni damu zetu na tujitahidi kuwa waminifu katika ndoa zetu na mahusiano yetu

    Nakusalimu kwa sauti kubwa ukapate kunisikia sikioni mwako,sina ukamilifu wa kutosha ila moyo unaniuma sana kuhusiana na ghazabu wanazozipata watoto wa nje ya ndoa Mtoto wa nje ndoa ni yupi? “Aliyezaliwa kabla ya baba na mama hawajaoana,alizaliwa bila ndoa na baadaye mzazi mmoja akaoa ama...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa. Karibuni sana 0719832015
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana. Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi/walezi waliotuchapa viboko vya uhakika leo wanatuzuia na kawatetea tunapowachapa watoto wetu?

    Kuna muda huwa nakaa na siwaelewi Wazazi (Walezi) wetu ambao wakati akina GENTAMYCINE tukiwa Watoto miaka ya mwanzoni mwa 80 walikuwa wakituchapa Bakora (Mboko) tena za Kishalubela (Kikatili) ili watunyooshe Kitabia na Kimaadili ndiyo hao hao Leo hii nasi tukiwanyoosha Wajukuu zao (Watoto wetu)...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  9. JamiiForums Tanzania Masauni aagiza GBT kudhibiti ushiriki wa watoto michezo ya kubahatisha

    Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kuhakikisha inadhibiti ushiriki wa Watoto chini ya miaka 18 katika michezo ya kubahatisha na kuandaa mkakati na mapendekezo kwa Serikali ya namna ya udhibiti huo kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama?

    Wakuu naomba kuuliza hili swali? Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea Iko hivi wakuu Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wazazi na mfumo wa malezi

    Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu huwa wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi. Malezi ya mtoto huonyesha...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Bima ya Afya bure kwa watoto Vijijini - Mapendekezo yangu

    Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani. Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
  13. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake na Hatma ya watoto

    Ondoka, nenda kwenu, mwanamke gani wewe, beba mizigo yako na watoto wako, sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini. Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa imevunjika, kidudu mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Mama anataka watu wazima wasio na watoto wakataliwe kuingia Disney Land

    Mama huyu ametoa malalamiko yake kuwa watu wazima wanasababish foleni kuwa ndefu. Waruhusiwe tu wenye watoto na wazazi au walezi wao. Ameendelea kusema watoto wanaposikia njaa foleni za kununua chakula ni ndefu na wengi wao ni watu wazima wasio na watoto. Kuna mtoto wa miaka mitatu alikua...
  16. JamiiForums Tanzania Epuka na saidia kuepuka vitendo vya uonevu (bullying) na kikatili dhidi ya watoto

    Habari za wakati huu wapendwa wa JamiiForums. Bila shaka mko vizuri. Ambao mko Wadhaifu Mungu awape heri. Iko hivi, Napenda kuzungumzia kuhusu Uonevu (Bullying) Uonevu ni hali ya kufanya kitu fulani kwa mwingine kama vile kumdhalilisha, kumpiga au kumdhuru kwa namna yoyote ile hata bila sababu...
  17. JamiiForums Tanzania Tuanzishe leseni kwa walevi Ili kulinda watoto chini ya miaka 18

    Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini 👇👇
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Makuzi ya watoto ni wajibu wa jamii nzima

    Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

    Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya Namna ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Jinsi ya kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na waume zao kulea watoto

    UTANGULIZI SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…