watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  2. JamiiForums Tanzania Usaili Wa Watendaji Chamwino

    Majina Haya Hapa
  3. JamiiForums Tanzania Maamuzi yote Tanzania hufanywa na Rais, anajificha kwa Watendaji!

    Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  5. JamiiForums Tanzania Watendaji wa serikali wakamatwa kwa wizi wa dawa

    Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ulinzi na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri aonya watendaji RUWASA kuchafuana wakisaka madaraka, ataka watoe huduma bora kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka. Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mara: RC Hapi Awasimamisha Kazi Watendaji; Asema Kazi Inaendelea

  8. JamiiForums Tanzania Mwinyi awataka watendaji Serikalini kuwa na mbinu mpya za kuingiza mapato

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa wabunifu na kuja na njia mbadala ya kutafuta fedha nje ya Bajeti ya Serikali, ili kufanikisha utekelezaji wa mipango ya Serikali. Dk. Mwinyi amesema hayo katika Ufunguzi wa Mafunzo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

    Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
  10. JamiiForums Tanzania RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Watendaji mamlaka ya maji Arusha (AUWSA) ni kero

    Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha. Pamoja na kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Philip Mangula afungua mafunzo ya Siku 3 kwa Makatibu wa wa Mikoa na Wilaya wa CCM Jijini Dodoma

    CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma. Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

    Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa! Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya kusubiri, na TAMISEMI kazipangia bajeti na kuzigawa, kazi imeanza huku chini (wilayani). Viongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  15. JamiiForums Tanzania January Makamba, umejaribiwa mapema sana na watendaji wako, kukatikakatika kwa umeme kutakuondolea kuaminika, enzi zenu za majenerator zaja

    Wana Jf Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa. Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wafuatao kauli zao zimegomewa na watendaji.

    1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa. 2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi...
  17. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali kuwachunguza wakurugenzi wao namna wanavyowatumia watendaji wa kata na Kijiji kuwaumiza wanannchi

    Serikali inajitaihdi sana kutoa mafungu mbalimbali ya fedha kwa ajiri ya maendeleo vijijini. Bahati mbaya zile hela mara nyingi vijiji huingiziwa na serikali bila ya kutoa muongozo wa matumizi. Serikali inaamini vijiji vina matatizo mengi, nikweli vijiji wanahitaji fedha nyingi kukamilisha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

    Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini. Source: ITV Malumbano ya Hoja
  19. JamiiForums Tanzania Watendaji wa TCRA na makampuni ya simu yanashirikiana na matapeli kutuibia wananchi?

    TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua. Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

    Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko. Najua Watu wengi mnashangaa na Kujiuliza ni Kwanini Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara kuelekea Mechi ya Watani wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…