Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau.
Kuna watu wamekimbia nchi kwa kuogopa kutekwa.
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Innocent Bashungwa anaongoza Wizara ya Mambo ya Ndani Yenye Wajibu wa Kikatiba na Kisgeria Kulinda Uhai, Usalama na Mali za Raia
Mtoto wetu yuko wapi? Atarudi lini? Amepatwa na nini? Amefanya kosa gani? Tufanye nini kuhakikisha anarudi nyumbani salama? Nani anayeweza kurusaidia kumpata mtoto...
SISI NDIO WATEKAJI NA WAUAJI TUNAWASINGIZIA TUU WASIOJULIKANA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wasiojulikana! Kivipi yaani? Hawajulikani kwa namna ipi? Watekaji na wauaji ni sisi sisi Watanzania. Alafu tunajitia hawajulikani. Hawajulikani?
2. Mwaka wa kumi huu! Mnakimbizana na jambo...
Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana.
Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Madaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia alikuwa akitoa ushauri mfano mwendo kasi kujenga tren za mjini.
Mtu ambaye alikuwa anasema kuwa kuna...
Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!.
Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!.
Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!.
Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
Kutokana na kauli za polepole hazina tishio kwa taifa kwani nyingi alikuwa akielimisha umma juu ya taifa lao baadhi ya kauli alizowahi kusema ni kama ifuatavyo
1.Alisema wazi ccm mtandao wamekuwa wakijitajirisha bila kujali maslahi ya umma.mfano kutaja kashifa ya uniform za jeshi la polisi...
Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi.
Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa kifo ambavyo vitasemwa kuwa biashara,madeni,mapenzi na n.k.
Usalama naomba DMZ mtakuja kujutua...
Nakuacha na kichupa hicho, sita lia nakutoa machozi,
Nitafurahi kwani hukumu yako inakuja,
Unakula wenzio na wewe Utaliwa.
https://youtu.be/CjZTT1rix8M?si=wlTyehT-zvrX8uc3
Kuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki.
Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa.
Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au kuumiza mtu, unauwamiza wengine kwa njia isiyo ya moja kwa moja wale wanaomtegemea.
Usijiruhusu kuwa...
Hivi polisi wanatuchukulia wajinga,kwa nini umkamate mtu kwa kumteka tena ukichukulia ni kiongozi.
Walishindwa kumpigia simu aende kituoni, au walishindwa kumfwata ofisini kwake, au nyumbani kwake, mimi naaminini bila kelele za wananchi kwa kushikikiana na mitandao ya kijamii huyu alishapotea...
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.
Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .
Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda kwenye nyumba za ibada ili kuuficha au kuuhalalisha uovu wao. Na hawa ndiyo mara nyingi wakienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.