watekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liache mara Moja kuwafanya Watanzania Wajinga, Kama ni hizi sababu zenu, Kwanini hamuwakamati hao Watekaji na Wauaji?

    Inatia sana Hasira kuona Chombo Cha Dola ambacho kinawajibika kuhakikisha Usalama wa Raia, kinakua Cha kwanza Kutafuta sababu za kipuuzi kabisa na ambazo ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuzikubali kuhalalisha Utekaji ,na Mauaji ya Raia Nchini. Padre KITIMA nusura auwawe, kwamba ni wivu wa...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Tutegemee kuiona Tanzania tofauti iwapo wananchi wataamua kuwasaka watekaji wa watu?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na ongezeko la matukio ya kutekwa kwa watu—hali inayoibua hofu, mshangao na maswali mazito miongoni mwa raia wake. Hili si jambo la kawaida, na n Kinachosikitisha zaidi ni kwamba kuna madai ya kuhusika kwa watu waliomo ndani ya mfumo rasmi wa...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

    Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia. Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi. Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya watekaji sio ya kawaida wanaweza zuia dola isichunguze na kuamuru dola kufungia makanisa

    Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo. Kweli kua uyaone
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika. Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

    Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua mpo nao tu mitaani watekeni na wao ili tabia hii ikome

    Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome. Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi kuwaangamizieni wapendwa wenu na msaada wa kisheria hampati wala nini watekeni na hao watekaji ili...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, Ukimya wa Rais Samia juu ya utekaji na kuwakemea/kuwatenga wanaokemea utekaji katika chama chake unaleta jibu kuwa anawajua watekaji?

    Wadau kuhusu utekaji na watekaji, kuna mambo yanafikirisha sana kuhusu Rais Samia ukiyatafakari , Mosi, Sijawahi kumsikia Rais wetu , mahala popote akikemea masuala ya utekaji na watekaji Pili, ni wazi kwamba Rais anachukizwa na wanaCCM ambao wanatoka msitari wa mbele kuhoji sakata la utekaji...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

    Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji. Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

    Kinachonipa nguvu, ni pale binadamu yeyote, masikini, tajiri, mwenye mamlaka n.k, woote lazima tuonje mauti Shida inaanzia hapa! Kuhukumu na kunyima watu uhai ni laana katika nchi, Damu ndio uhai wa mtu, na damu inapomwagwa kwa ukatili, hulia mbele za Mungu kwa kutaka kisasi juu ya nchi Kwa...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Watekaji Je, Ndiyo Hawa Hapa?.

    Niliwahi kusoma sehemu fulani na baadaye nikaambiwa kwa comment hili jambo. Habari ya jumapili ndugu Mtanzani. Hili jambo la wasiojulikana limezungumzwa sana kwenye majukwaa mbalimbali na hata JF. Nimejiuliza mara kadhaa na sijapata jibu kwa hili swali langu, je hawa watekaji ni sehemu ya...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kumtenganisha Rais na Watekaji, kwa sababu asilimia 99 wanafanya kazi kwa masilahi ya Raisi. Historia ya Watawala Duniani iko wazi

    Tunaweza kuona ni swala dogo ila ni kwa sababu hatujasoma historia za watawala Mbali mbali huku Duniani. Binafisi nashindwa kumtenganisha Mheshimiwa na watekaji, kuna anacho kijua kuhusu watekwaji na some time hata kuwapa Baraka inaweza kuwa sio Direct ila hata Indirect tu. Swala la Viongozi...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio watekaji, tatizo liko vichwani mwa wananchi

    Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili. Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu. Hii hali ya miongoni mwa Watanzania Mimi sijui ni man made au ni genes. Vyovyote vile iwe man made au...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  17. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nilikatazwa nisizungumze lakini siwezi kuwatii Watekaji

    Wakuu, Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji. Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza. Msikilize mwenyewe hapo chini...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Utekaji kimya je Bashungwa umekomesha? Au wachora ramani au watekaji wapo bize na uchaguzi wa ndani?

    Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
  20. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
Back
Top Bottom