watekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi inaweza kuwa kauli tata iliyomtia Mzee Mwandambo mikononi mwa watekaji

    Inasemekana Mzee Mwandambo ametekwa Kanuni ya watekaji wa nchi ya Afghanistan, ukitekwa ukaachiwa na ukawakosoa ukitekwa tena Kuna zaidi ya 90% ukapotezwa, Hivyo basi Nina wasiwasi kama Mzee Mwandambo atarejea akiwa hai Kauli zake alizopata kutoa 1. Serikali ya ze comedy 2. Taasisi ya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu eti limeenda kumsemea kwa Papa halafu watekaji na wauwaji haliwasemi. Hivi zimo?

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya masihara ninatoa onyo kwa wapumbavu kama hao. Kukemea utekaji na mauwaji imekua kosa toka lini ...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane mbinu za kukabiliana na kuwateka watekaji

    Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao. Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali watendaji wa yeyote au wowote wanaonufaika na utekaji. Kama watu wenye akili na busara, naomba...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watekaji Wampuuza Simbachawene

    Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujilinda na watekaji

    Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani. Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba huko usabatoni kucheza,kusuka,Hereni kula kamongo ni dhambi? Je na kukemea watekaji ni dhambi pia?

    Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi? Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani? Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu. Kwanini mpo tiyari kuchangisha...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingine zinatutambua kama waandamanaji lakini Serikali yetu inatuona kama wahaini huku wauaji na watekaji ikiwanyamazia

    Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

    "Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watekaji wanajulikana mbona!

    Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli? Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na ikitokea amepata madhata kwa namna yoyote polisi wataanza na wewe. Sasa hili suala la mtu anamkosoa mtu...
  12. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  13. Griss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe yule mkuu wa kikosi Cha watekaji anaitumikia Rwanda toka mwaka 2007?

    Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele Nawaambia Samia asipojiuzulu kabla ya tarehe 9/12 Tanzania inaenda kuungua. Hii taarifa nimeipata kutoka ndani ya idara...
  14. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  15. FlyingDutchman

    JamiiForums Tanzania Watekaji na wauwaji wa kikatili wa watanganyika siku ya maandamo na baada,weakness Yao ilikua ni ipi?

    Bewere sihamasishi watu kufunga barabara lakini 1. Kawaida nguvu zao kubwa ni pia udhaifu wao Uwezo wa haraka na kusogea: wanatumia magari na silaha za moto, hivyo wanaweza kushambulia haraka. Udhaifu wa uangalizi wa umma: wanategemea kujificha na kudanganya raia (mfano: askari “wa kirafiki”...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29

    Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29 Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
  19. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania JWTZ kama na ninyi mmeanza kukamatwa{kutekwa}, je sisi mlioapa kutulinda tutalindwa na nani dhidi ya watekaji?

    Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile. KWENU JWTZ Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anasimama na wananchi. Nani atasimama na watekaji?

    Ame share mhanga wa watekaji: TAARIFA KWA UMMA. KUHUSU WAPI TUTAKUTANA KWENYE MAANDAMANO YETU. Kila mtu atoke nyumbani kwake aende ilipo BARABARA KUU, hapo ndipo tutakapo kutaniana kila mkoa nchi nzima. Baada ya kukutana BARABARA KUU tutaanza kuelekea MJINI. Kila mkoa upo Mji ambapo zipo...
Back
Top Bottom