watekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tusiishie kulia lia tu, tujihami na watekaji

    Hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi kujihami. Kila mmoja awe na chochote kinachoweza kumsaidia kujihami na watekaji. Mimi naamini...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

    Wakuu, Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema: "Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa...
  3. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

    Gari ya serikali namba STL 9923, Usiku huu imeshambuliwa kwa mawe na wananchi wenye hasira butu, na watumishi waliokuwemo ndani wameumizwa. Chanzo cha kizaa zaa hicho inasemekana hilo gari la serikali lilikua linaifuatilia gari nyingine ndogo aina ya BMW. Baada ya kufika maeneo ya tegeta kwa...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Hawa watekaji waneshakamatwa au bado tunafatilia?

    Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu siyo salama, Tujifunze mbinu za kujikinga na watekaji

    Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania "Watekaji" wanatoa wapi pingu?

    Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi. Waliojaribu kumteka...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

    Kutoka Mtandao wa X (Twitter) 1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujikinga na Watekaji Nyara

    Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu. Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego anyemelea Jimbo la Ubungo

    Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu. https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Watekaji wana nguvu kuliko Chama tawala; Hii siyo dalili nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu

    Katibu Mkuu alizungumza vizuri kwa maslahi ya chama na umma. Aliamini vyombo vya ulinzi vina makosa, ama kwa kuhusika moja kwa moja kama wanavyoshutumiwa au kwa kutotekeleza wajibu. Mwenyekiti yeye anawatetea vyombo (100%) tu na kuwalaumu wahanga na umma unaodai haki kutendeka! The logic is...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri viongozi wa CHADEMA kuanza kushikwa! wekeni kamera tuwaone hao watekaji

    Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano. Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo. Huu ni ushauri tu
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

    Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada . https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hapa Dkt. Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji?

    Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji 1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji." 2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

    Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa. Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kama upo serious kutaka kukomesha watekaji na wauaji, toa amri ya kukamatwa wote wenye mwelekeo wa kuwa na mwingiliano na watekaji

    KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka. Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja: 1)...
Back
Top Bottom