wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia. Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos afungue ofisi Africa na kuajiri watu wakupeleka bidhaa kwa wateja

    Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi. Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani...
  4. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika. Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila wakati,wateja wanapga kuuliza bidhaa zimefika au zipo au lah,raha sana ukiwa mfanyabiashara halafu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

    Habari za wakti huu; Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  9. JamiiForums Tanzania Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  10. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene aonya kampuni za simu zinazovujisha siri za wateja wao

    Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene ameitaka ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuanza kuwachunguza na kuzichukulia hatua baadhi ya kampuni ya simu za mkononi pamoja na watumishi wake wanaovujisha taarifa za miamala ya wateja wao kwa wahalifu wa mitandaoni. Akizungumza jana Jumatano...
  12. JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu. Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Vodacom hiki mnachokifanya kwa wateja wenu ni uhuni wa hali ya juu sana. Jirekebisheni haraka iwezekanavyo

    Kwa wiki nzima Sasa Voda wamekuwa wakinifanyia Huu uhuni. Sina Deni songesha Wala nipige tafu. Nimeweka Bando la sh elfu 2 Na Mia tano ili nijiunge Na kifurushi cha internet cha siku. By the time namaliza kujiunga naambiwa salio halitoshi. Natazama salio nakuta lipon2400 au 2300 ikiwa Na...
  14. JamiiForums Tanzania Hii habari ya CRDB kuwarejeshea fedha wateja wenye mikopo ni ya kweli?

    Habari? Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
  15. JamiiForums Tanzania Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Jana nimeenda hospital moja hapa Tegeta kibaoni, na imeshajijua maana ipo peke yake pele kibaoni. Waanapiga bei kubwa sana wateja wao, kujiandikisha tu pale ni 7,500/= na sijui ni yanini maana hata file hupewi mambo yote yapo kwenye system za computer. Baada ya hapo anakwambia inachofuata...
  16. JamiiForums Tanzania Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

    Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi. Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa wateja banki ya NBC moshi uko hatarini

    Umeibuka mjadala mkubwa sana kwa wakazi wa mji wa moshi wengi wakihoji mamlaka za serikali kuwa kimyaa kutokana na Baa moja kubwa kujengwa ikipakana na ukuta wa Banki ya NBC Tawi la Kibo Mjini Moshi. Wapo wanaotilia shaka uwepo wa Baa hiyo wakidai inaweza ikaharisha usalama wa wateja wanaotumia...
  18. JamiiForums Tanzania Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  19. JamiiForums Tanzania Wateja Mjifunze kuheshimu wafanyabiashara, Wanajitoa kuliko Mnavyofikiria

    Kuna hii kauli ya Mteja ni Mfalme ni moja ya kauli mbaya na ya dharau kwa wafanyabiashara, ni kauli ambayo siiipendi kuisikia hata kuona mtu anaitamka mbele ya macho yangu. Pesa ni roho inayoambatana na matabia mengi sana nyuma yake,na moja ya tabia za mwenye pesa ni "dharau" hizi dharau...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

    Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…