watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mahala Kiongozi wa CHADEMA ametukana . Wanachofanya ni kuuleza umma wa Watanzania namna taifa lao linavyoporwa na wanaCCM wachache

    Nimeshangazwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba (PM) kuwa wanaChadema wanafanya harakati na kutukaa viongozi. Ameenda mbali na kudai huko nyuma Chadema walikuwa wakimtukana hayati JPM Napolingana na hii hoja maana viongozi wa Chadema wanaeleza kwa hoja namna CCM inavyotumika kitafuna pesa za...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mtu gani anayekubalika na mwenye mvuto kwa watu ambaye anapendwa na anakubalika kwa watanzania ndani ya chama cha Mapinduzi?

    Habari wakubwa Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu. Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama kwenye jukwaa anaweza kuwajaza watu wakakaa na wakamsikiliza ? Isiwe huyu mtu amewalipa au...
  3. JamiiForums Tanzania Dah kumbe kuna watu wanalipwa ili watanzania tufe?

    "Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja analipwa Bilioni tano ili awachochee vijana wa Kitanzania na anaambiwa wakifa wengi atalipwa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Tumempata Rais Mzuri anayejali masilahi ya watanzania lakini bado chadema wanaendekeza dysfunctional politics nchini hopeless kabisa.

    Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Watanzania bado ni mdogo, inaelekea propaganda za CCM zimeshinda

    Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani. Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

    Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia. Mfano, kuna jamii...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA shikilieni hapohapo watanzania tupo nyuma yenu

    Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe. People's, people's, people's Powerrrrrrrr!!!!!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!!!
  9. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  11. JamiiForums Tanzania Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

    Wafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawapendi kupanga foleni au kukaa kwenye mstari kwa utaratibu kabisa?

    Kama umefika umekuta watu wamepanga foleni au kuna mstari wanahudumiwa kwa nini usikae kwenye foleni na wewe usubirie zamu yako ili waliokutangulia kuwahi wahudumiwe kwanza?! Kama uko barabarani kwa nini unatanua? Tabia za kipumbavu na kinyani za Waafrika zinaanzia mbali sana. Tukiwa shule ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ataja sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa na Watanzania

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

    Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua. Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita. Ebu msikilizeni huyu mtu maneno...
  15. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini Watanzania tunafaidika vipi na gas ya Mtwara?

    Bei ya gas hipo juu Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tamaa binafsi za Mama ndiyo zinatuletea kukosa misaada ya Watanzania!

    Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwandambo: Naona Watanzania tumeichoka amani tunataka tuingie kwenye vurugu kwa kuwasikiliza wachochezi

    Clemence Mwandambo ametoa kauli kali akidai kuwa baadhi ya Watanzania wamefikia hatua ya kuichoka amani na badala yake wanaelekea kutaka vurugu kwa kusikiliza watu anaowaita wachochezi. Naona Watanzania tumeichoka amani. Yaani hatuitaki amani... tunataka tuingie kwenye vurugu kwa kuwasikiliza...
  19. JamiiForums Tanzania "Je, Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba tu, si kwa ajili ya afya?"

    Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi tunachagua chakula kwa bei nafuu, ladha au wingi wake, lakini si kwa ubora wake kiafya. Matokeo yake...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna ugonjwa wa kusahau na kufuata mkumbo.Yaani Leo Magu amekuwa mwema kuliko mama Samia. Eti Polepole nae kawa shujaa. du!!

    Watu mnaosahau maumivu alituachia Magu na Polepole wake 1. Hakupandisha mshahara ya watumishi Kwa kipindi chake chote, kuwaondoa wafanyajazi wenye vyeti feki LAKINI kushundwa kureplace wengine wakati wamejaa mtaani. Nakushindwa kutoa Askari wenye vyeti feki 2. Mauaji ya kibiti na watu kpotea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…