C Chiclette Senior Member Joined Feb 17, 2024 Posts 138 Reaction score 227 Jan 3, 2026 #1 Habari, Kama kuna mtanzania yupo Switzerland na anatafuta mtu wa ku connect nae mimi nipo Basel, Jinsia Male age 23.
Habari, Kama kuna mtanzania yupo Switzerland na anatafuta mtu wa ku connect nae mimi nipo Basel, Jinsia Male age 23.
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,971 Reaction score 22,373 Jan 3, 2026 #2 Geneva bei Gani mkuu nauli kutoka hapo Basel. Kuna demu wangu wa zamani Yuko Jeneva hapo naishia kula Kwa video call tu uende umkaz3 Kwa niaba
Geneva bei Gani mkuu nauli kutoka hapo Basel. Kuna demu wangu wa zamani Yuko Jeneva hapo naishia kula Kwa video call tu uende umkaz3 Kwa niaba
lyahas Member Joined Oct 26, 2025 Posts 79 Reaction score 106 Jan 3, 2026 #3 unachana mawimbi ndug had switz unafika
City Thunder OKC JF-Expert Member Joined May 4, 2025 Posts 6,655 Reaction score 13,086 Jan 3, 2026 #4 Umeenda lini mkuu?
C Chiclette Senior Member Joined Feb 17, 2024 Posts 138 Reaction score 227 Jan 3, 2026 Thread starter #5 City Thunder OKC said: Umeenda lini mkuu? Click to expand... Mwaka jana
C Chiclette Senior Member Joined Feb 17, 2024 Posts 138 Reaction score 227 Jan 3, 2026 Thread starter #6 aise said: Geneva bei Gani mkuu nauli kutoka hapo Basel. Kuna demu wangu wa zamani Yuko Jeneva hapo naishia kula Kwa video call tu uende umkaz3 Kwa niaba Click to expand... Nipe namba zake😅😅😅
aise said: Geneva bei Gani mkuu nauli kutoka hapo Basel. Kuna demu wangu wa zamani Yuko Jeneva hapo naishia kula Kwa video call tu uende umkaz3 Kwa niaba Click to expand... Nipe namba zake😅😅😅
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,621 Reaction score 10,839 Jan 3, 2026 #7 Umefata nini huko?