watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kati ya watanzania 10 tegemezi 7 ni wanawake

    Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake katika uchumi. Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona jinsi panya road 40 wanavofunga mtaa wenye wakazi 12000 utajua sisi watanzania ni watu wa aina gani

    Yani unyumbu wetu unatufanya tuone au tudharau Hadi wale ambao wanajitoa kupambania haki zao Kwa namna yoyote Ile, ujinga wetu unatufanya tuone Kila anaepigana ni mjinga bila kujali anapigania Nn, Yan ama kweli sisi ni walking dead, uthibitisho wa haya angalia walichokua wanafanya panya road...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wajue watanzania!

    Habari wasee. Leo nimejaribu kufuatilia kwa undani kuhusu watanzania kwa upande wa online contents, ingawa nilishafanya extensive research mwaka 2019, nikagundua watanzania wanapenda vitu vya kijinga na kiki ambazo zimetufanya tuwe hapa tulipo . Ukiingia TikTok ndio msiba mkubwa kwakweli ...
  6. JamiiForums Tanzania Utalii wa Ndani ni Mali Yetu – Jitokeze Kujionea Uhalisia wa Tanzania Yetu!

    Utalii si wa wageni pekee. Ni wakati sasa wa sisi Watanzania kuamka, kujua, na kuthamini uzuri wa nchi yetu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kila hali – milima, maziwa, hifadhi, visiwa, maporomoko, mapango, historia, na tamaduni zenye utajiri mkubwa. Lakini kwa masikitiko, wengi wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa awasihi waTanzania kulinda miundombinu ya SGR

    Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR). Prof. Mbarawa, ametoa wito huo katika stesheni ya Magufuli Dar es Salaaam, muda mchache baada ya kumsindikiza Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Nukuu 33 za Madikteta Maarufu Duniani: Watanzania Tunajifunza Nini?

    Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945) 1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler 2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin 3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin 4...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais ni Muislamu, walio chini yake nao pia na Dini zao. Siri ni moyoni mwake Rais. Tunahitaji Brand ya Taifa sio vinginevyo

    Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska. Mambo yao...
  10. JamiiForums Tanzania Tazameni Msafara wa RC Singida ,ni zaidi ya ufujaji wa Kodi za Watanzania, Hawa ndio CCM,ni lazima iondoshwe madarakani ili Taifa Liinuke

    Unaweza dhania ni Msafara wa mawaziri Kadhaa wa Kadhaa lakini la Hasha!! Huyo ni RC tu yaan MKUU WA MKOA.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Stand up comedy watanzania wanahitaji kuelimishwa watofautishe Sanaa ya uchekeshaji na uropokaji

    Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta! Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha! Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii! Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Angalia WATAWALA wanavyo wa rate /waChukulia watanzania KUWA NI WAJINGA.

  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tusipotoshwe. Msingi wa masuala ya demokrasia umetajwa kwenye katiba yetu 146(2)C

    Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa. Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Taifa letu bado ni Salama Na Lenye Usalama wa kutosha. Watanzania tembeeni vifua mbele na kujivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni ya Kuwa Taifa letu na Nchi yetu chini ya Nahodha wetu Maridadi na Hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

    Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali. Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu. Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

    Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang "Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  20. JamiiForums Tanzania Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…