watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Alichosema Anthony Diallo kinasemwa na Watanzania wengi chinichini

    Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania waanza kujiachia na Chanjo ya COVID 19 kwenye nchi za watu

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa TFF Aliyeenguliwa kwa fitna , Oscar Oscar na Rafiki yake ambaye sikumtambua jina lake wametangaza hadharani kwamba wamepata chanjo ya corona nchini Marekani, watu hao wawili ni raia wa Tanzania nchi ambayo miezi michache iliyopita iliamini kwamba virusi vya corona...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini sana na watu kama Dkt. Diallo. Ni watu wa maslahi zaidi

    Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?" Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  5. JamiiForums Tanzania HESLB inawaumiza Watanzania; kwa haya madudu mnamwangusha Rais

    BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste) Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoweza kusikiliza kilio cha muda mrefu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu msemo wa 'Sisi Waafrika' unatudumaza, achaneni nao

    Tumesikia au tunawasikia sana viongozi wetu wakijinasibu kwa Uafrika, aidha utawasikia wakisema sisi Waafrika, yaani wanaona shida kubwa sana kusema sisi Watanzania au kwa Utanzania wetu bora hata Wa upande wa pili utawasikia wakisema sisi WaZanzibari au Uzanzibari wetu. Viongozi hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona Watanzania tubadilike

    Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli. SIkatai harusi ni kitu kizuri cha kumbukumbu lakini tungeangalia hali halisi kwa sasa.Mi ningeshauri kuliko kuhatarisha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais Samia Suluhu achague kutenda haki kwa kuwatumikia Watanzania masikini au kuwatumikia CCM

    Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam. Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na jingine jehanam. Kuwatumikia CCM wachache kwa maslahi yao ni sawa na mwislamu aliyesoma elimu dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

    Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali] Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki. [Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Changamoto za watanzania ndani ya Tanzania

    Ndugu zanguni ni wasalimu na niende moja Kwa moja kwenye mada. Mada yangu nikuhusu vyeti vya kuzaliwa. Mwanangu alizaliwa Mkoani Arusha mwezi wa 7 mwaka 2002, Leo ni miongoni mwa wale wanaosubiri matokeo ya kidato sita. Baada ya kuwa amezaliwa nilifuata taritibu zote za kupata Cheti ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

    Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania. Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote. Rais wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania kupenda michango

    Habari wadau, Leo nimepata muda kujiuliza hivi hii tabia ya Watanzania (walio wengi) au jamii yetu kupenda sana tabia ya kuanzisha michango na kuchangia tumeipata wapi? Au ni ile toka enzi za siasa za ujamaa na kujitegemea? Sipingi kuchangia mambo muhimu, ni jambo jema sana kuchangia mambo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

    Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru. Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF...
  17. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

    Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza. Mdude nyagali amenishangaza vipi? Tabia inayoota mizizi hapa nchini. Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  19. JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wakikuona unavyo vingi wanataka mgawane?

    Hii tabia inaboa sana kwanza kwa Watanzania. Yani ukiwa na simu zaidi ya tatu kila unapokwenda lazima ukutane na yeyote kwanini usinipe moja, wakati japo yeye anayo. Ukiwa na gari zaidi ya mbili basi kama umetengeneza tatizo kwa wanaokuzunguka utasikia”una magari mengi bora ungetupa moja” sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…