watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni lini Watanzania hasa vijana tutaacha tabia ya kusifia viongozi ili kupata teuzi?

    Habarini ndugu zangu wa Tanzania. Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa. Mimi sio mwanasiasa na wala sio mwanachama wa chama chochote kile ila ni mtanzania mpenda maendeleo, naomba nitambulike hivyo. Nimekua...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa za kigeni imekuwa na ukakasi kwa Watanzania

    Habari wanajamvi, Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa mengine ya kiafrika yanakutana na changamoto hizi katika kuwekeza kwenye masoko hayo Changamoto...
  4. JamiiForums Tanzania Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya kukosa umeme haivumiliki na Watanzania siyo wajinga kiasi hicho

    Habari wana familia ya JF. Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa umeme kwa umma ila uhalisia mgao wa umeme ulianza muda sana tangu waziri makamba aingie pale...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  7. JamiiForums Tanzania Huku viongozi wa CCM wakizidi kutakata na kushereheke miaka 45 ya chama chao, Watanzania wanazidi kuteseka na umasikini

    Wananchi wakihangaika kupata Maji. Viongozi was CCM wanatakata kama dhahabu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

    Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki. Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo. Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga...
  10. JamiiForums Tanzania Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini. Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu. Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
  11. JamiiForums Tanzania Wimbo mmoja tu wa "Kajenga Madarasa", hakuna kingine kikubwa zaidi?

    Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3? Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
  12. JamiiForums Tanzania Exposure katika kazi ni muhimu. Je, Watanzania wana wivu, chuki na ushamba?

    Niliwahi kuandika uzi kuhusu uelewa wa watanzania wengi upo chini ya kiwango kinachotakiwa kimataifa, na uzi wenyewe ni huu Uelewa wa mambo kwa Watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka Mjadala wa kujadili mtu badala ya uwezo wake binafsi ni matokeo ya watu waliokosa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

    Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

    Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif. Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa...
  15. JamiiForums Tanzania Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

    Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi kila kata au Kijiji na kupeleka walimu na vitendea kazi. Vijana wasome bure, yaani kila kijana aliye...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania na madereva wa Magari wameigeuza barabara ya njia nane (Morogoro Road) kwa makusudi na kujitakia! Tujiandae na maafa pale stendi ya Mbezi

    Habari! Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa na serikali kujenga barabara ya njia nane Kimara-Kibaha lakini ukweli ni kwamba watumiaji wa barabara hii wananchi na madereva wameamua kuigeuza barabara hii kama machinjio! Barabara hii kwa sasa hawezi pitisha wiki au siku tatu haijamwaga damu za watu...
  17. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Rais kwa kuwaziba mdomo wapinzani kuhusu kuungua kwa Soko la Karume

    Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda. Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
  19. JamiiForums Tanzania Tuache kuvumilia wazembe, wajinga na wapumbavu makazini, wapo watanzania wengi uraiani hawana ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira. Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumestaarabika au Elimu haijatukomboa?

    Kuna suali najiuliza kila siku kwa wasomi wetu kwanini tukipata Raisi muumini wa Dini nyingine, upizani wa bila hoja unaanzishwa tena na watu wasomi? Na kiongozi wajuu kupewa majina yanao ishiria ubaguzi wa dini, wakati hi nchi haina udini ukabila ubaguzi wa aina yoyote, muasisi wa nchi hi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…