watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi nani anatoa fedha za miradi ya watanzania? Ni Rais?

    Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili? Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania waliojiunga na kampuni ya BESTIBEI wametapeliwa

    Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei. Best Bei hii ilianza kutangazwa mara tuu Kalyinda ilipofungwa na walitoa mda kwa watu kukusanya hela...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini tunalipa kodi?

    Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?" Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato yanayotokana na huduma za bandari, mauzo ya madini na mazao ya kilimo, usafirishaji nk. Kodi tunazolipa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hiki 'Kirusi' naona sasa kinaanza 'Kuzoeleka' kwa Watanzania

    Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi nyingine kuwa na Wao Kwao limetokea ili tu Kulizima na kulifanya lionekane la Kawaida hivyo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kihistoria aliyoyapata Rais Samia katika ziara yake ni Uthibitisho wa Watanzania wanavyomkubali

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania wapata Golden Buzzer Australia's Got Talent

    Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent. Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali...
  9. JamiiForums Tanzania Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho

    Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho huku zaidi ya asilimia 90 ya matatizo hayo ya macho yanatibika. Amesema Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassm Majaliwa kuzindua jengo la...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tumejifunza nini kutokana na tulichofanyiwa na makampuni haya?

    Namaingo https://www.jamiiforums.com/threads/dc-aagiza-mkurugenzi-namaingo-kukamatwa-kwa-kutapeli-wananchi-4000-na-kukusanya-pesa-zaidi-ya-tzs-bilioni-moja.1438751/#post-26967657 Kijani Kibichi...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania wamempata Pitso Mosimane wao Juma Mgunda (Guardiola Mnene)

    Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika. Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) Acheni Arrogance; Part-Time Teaching Mnafanya Interview? Huko ni kudharau na kudhalilisha Watanzania

    Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) ni chuo kinachomilikiwa na Serikali yetu kupitia wizara ya fedha. Kama ilivyo vyuo vingine vya elimu ya juu na vyuo vikuu wanakuwa na upungufu wa teaching staff(walimu). Tatizo la hawa jamaa ni arrogance yaani kujisikia, majivuni, kujiona wa kipekee wakati ukweli ni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania Milioni Saba 'Wamedata' Kiakili

    "Watanzania Milioni Saba wana matatizo ya Akili kutokana na Changamoto mbali mbali za Kimaisha" Amka na BBC Asubuhi ya Leo. Na zifuatazo ni sababu Kuu zinazopelekea 'Wadataji' hao ( siyo GENTAMYCINE ) kuwa hivyo.,.. 1. Madeni 60% 2. Mahusiano 25% 3. Ajira 10% 4. Kushabikia Yanga SC 3% 5...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi BoT inahusika kutapeli watanzania kupitia hizi pyramid schemes?

    Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena. Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili, 10% pekee wametibiwa

    Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu iliyotajwa na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania. Wiki hii dunia inaadhimisha wiki ya afya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…