watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

    Kwa masikitiko makubwa sana Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA. Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao : Kwenu CCM wenye akili...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto zinazotokana na vita Iran ni Fursa kwa waTanzania wanaonyanyaswa

    Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari. Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi. Baadhi ya mataifa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini music video za Watanzania(uneducated)hazina kiwango kikubwa, Kama za Watanzania (educated)?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=zlCNhPi_1K0pnYpj
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wetu Mpendwa Mama Samia Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Wakristo na Watanzania Wote. Awaomba kuendelea Kudumisha Amani na Mshikamano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita, jasiri muongoza njia, Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka...
  5. JamiiForums Tanzania Pasaka ni Ukombozi na Ushindi! Ili Watanzania Tukombolewe na Tushinde, Lazima Tusamehe (Hata Bila Kuombwa Msamaha) Tukombolewe, Turidhiane, Tushinde

    Wanabodi Heri ya Pasaka!. Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo!, ila kabla ya kukupeleka kwenye makala, mimi pia kama Mtanzania, kwa mujibu wa ile Ibara ya 18 ya katiba, natoa maoni yangu. Pasaka hii imetukuta, Watanzania tukiisubiria kwa shauku kubwa Ripoti ya...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SI KWA UBAYA : Ila Rais wetu umetukosea sana watanzania tunajua na tunayaona

    Kwako madam president Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa huu ufisadi kwa nguvu zote Bahat mbaya badala ya kupambana na ufisadi wewe unateua fisadi ndani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

    Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaomfananisha Mwigulu na Magufuli mnatukosea sana Watanzania

    Hi. Aisee sijaona mtu kufananisha mlima na kichuguu. .Mwigulu is nothing over Magufuli. Magufuli was another machine, real talented and problems solver. Acheni kumfananisha Mwamba jiwe na Wahuni wa Msoga.
  12. JamiiForums Tanzania Chuki ya Watanzania dhidi ya watu hawa ilianzia wapi?

    Huwa sielewi, chuki za Watanzania dhidi ya 1. Wasomi 2. Walimu 3. Waajiriwa Ilianzia wapi. Kosa la hao watu ni nini maana nimeona threads nyingi zinaanzishwa kuwaponda. They're just living their lives like everyone else. Why hating them?
  13. JamiiForums Tanzania Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi? Mbona kama kakata tamaa? Je anataka kutukimbia watanzania? Anataka kwenda wapi?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Umeondoka TBC na mabilioni, vipande 40 vya fedha ukawasaliti Watanzania, lakini hukumu ya HAKI ya Mungu inakusubiri

    Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM. Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki! All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  17. JamiiForums Tanzania MPYA Kuna Watanzania wamekamatwa kwa shutuma za kuhusika na ISS?

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Reddit, likionyesha kile kinachodaiwa kuwa ni ripoti iliyotolewa kwa umma kuhusu watu waliokamatwa nchini Somalia wakituhumiwa kushirikiana na kundi la ISIS. Katika ripoti hiyo inayodaiwa kutolewa kwa umma, imeelezwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania mnacheka busara za mama 😅

    Kwa nini sikuhizi kila post ambayo inaonesha busara za Samia zinapata reaction nyingi za kucheka. Ni kama hamchukulii serious anachokisema. Sijapenda 😂😂
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawana furaha?

    Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa Machi 19, 2026, imeendelea kuiweka Tanzania katika orodha ya mataifa yasiyo na furaha. Katika utafiti huo uliohusisha nchi 147, Tanzania imeshika nafasi ya 138, ikiingia kwenye kundi la nchi 10 zisizo na furaha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania bara wanachukia kuitwa wana visogo, kwanini tusiwe proud na jinsi tulivyo ?

    Ni kwanini tukasirike badala ya kujivunia tulivyo? Watanzania, wanaume kwa wanawake, mara nyingi tunaonekana kukasirika sana tukitajwa kuhusu maumbile yetu, kama vile kuitwa tuna visogo. Lakini tukijiuliza kwa utulivu, kuna ubaya gani kuwa hivi tulivyo ? Kujipenda ni kukubali kila sehemu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…