watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania na tabia za kubaniana na kuzibiana riziki

    Hii hali imeishawakumba watu mbalimbali. Hapa nazungumzia tabia ya kubaniana & kuzibiana ridhiki. Hizi tabia zinapatikana katika maisha ya kila siku katika kuajiriwa au kujiajiri. Hili limethibitika rasmi kwa kutumia sakata la Feisal. Yaani unakuta mfano, boss anapata labda barua yako ya kwenda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

    NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
  4. JamiiForums Tanzania Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama takwimu za miradi ya maendeleo inayotekelezwa zingewafikia Watanzania wote, Wanaokosoa jitihada za Serikali hii wangezomewa sana na Watanzania.

    Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) una faida nyingi kwa Watanzania

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo: 1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa mishahara ya dola za Marekani Milioni 102 ambazo ni sawa na Bilioni 238 za kitanzania 2. Mradi huo...
  8. JamiiForums Tanzania Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania ndio Binadamu wenye akili za ajabu kuwahi kutokea

    .
  10. JamiiForums Tanzania Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!! Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa haya ni kweli kabisa Watanzania walilishwa Limbwata

    Naweza amini kabisa pasipo shaka kwamba Watanzania tulilishwa limbwata na hilo limbwata huenda lilichukuliwa sayari tofauti na hii make nimejaribu kufukunyua nchi zenye tabia kama zetu nimekosa kabisa Dunia nzima. Na hivi ni viashiria kwba tulilishwa limbwata: 1. Pesa za umma zinapigwa na sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

    WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga vifungu vya sheria vinavyozuia uraia pacha, wakidai ni batili kwa kuwa vinakiuka haki yao ya kikatiba ya kuwa raia wa kuzaliwa. --- Suala la kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo sisi Watanzania ndio tumeshindwa kabisa kutunza muda?

    Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike? Karibuni. Uzi tayari.
  15. JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

    Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  19. JamiiForums Tanzania Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

    Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni 1. Katiba kama ya Kenya 2. Mahakama kama ya Kenya Yaani hivi vitu viwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…