watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilitegemea baada ya Watanzania kupitia Ukame na Maji yakawa ni Mgawo sasa tungekuwa busy Kuvuna Maji tusijetaabika tena

    Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Act wazalendo: Chadema iombe radhi kwa kuwadhalilisha bodabida na watanzania kwa ujumla.

    Wanataka jimbo la Arusha? 👇
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

    Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku. Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mamlaka za nchi na Watanzania wote, hali ya kufunga barabara inaudhi sana

    Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo. Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...
  5. JamiiForums Tanzania Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

    Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
  6. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: 95% ya watanzania wamepata chanjo ya COVID-19

    Hadi leo, 🇹🇿 imetoa chanjo kwa zaidi ya 95% ya watu wanaostahili kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19. 🙌 Mafanikio haya ktk afya ya umma yamewezeshwa na wahudumu wa afya walio mstari wa mbele. Tutawaangazia mashujaa wetu kupitia video zilizotengenezwa na rafiki zetu wa Tanzania.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

    Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale. Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia ufanyaji kazi bado wa kusubiri hela advance kwa mteja hafikirii kabisa kuwa na store kubwa utakayotoa...
  9. JamiiForums Tanzania Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

    Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara? Kuna watu hapa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  11. JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Watanzania wawaenzi mashujaa wa Vita ya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni

    MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
  12. JamiiForums Tanzania Amri Kuu ni Upendo. Kwaresma Hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania Tupendane, Tuonyeshane Upendo Kama TotalEnergies Inavyofanya

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo. Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi...
  13. JamiiForums Tanzania NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano TotalEnergies ndio kampuni inayoongoza kwa upendo wa dhati? Shuhudia upendo wa TotalEnergies kwa Watanzania kila siku za Valentine's

    Wanabodi, Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta ya TotalEnergies ikawa ndio kampuni inayoongoza kwa upendo kwa Watanzania?. Ni kufuatia upendo kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

    Jamani acheni kula Tozo zetu
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania walitamani kupata kiongozi Dikteta ili Mambo yaende-Zitto Kabwe

    Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

    Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
  20. JamiiForums Tanzania Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…