watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania mtaacha lini kulalamika?

    Je, walimu wa serikali wanaumizwa na mpango wa mikataba na wakuu wao? Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepata malalamiko kutoka kwa baadhi ya walimu wa Shule katika Mkoa wa Dar es Salaam na pia tumegundua kuwa walimu kadhaa wako katika msongo mkubwa sana wa mawazo kufuatia 'mikataba mipya' ya...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wengi nchini ni bendera fuata upepo, hawana maarifa ya kutosha

    Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana? Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
  3. JamiiForums Tanzania Takriban watanzania 620,000 wana ulemavu wa kutoona nchini

    Inakadiriwa kuwa Watanzania takribani 620,000 wana ulemavu wa macho nchini ikiwa ni sawa na asilimia moja ya watu kwenye nchi zinazoendelea na za uchumi wa kati kwa mujibu wa makadirio na takwimu za Shirika la A fya Duniani (WHO). Hayo yamesemwa leo na Bi. Ziada Sellah kwa niaba ya Katibu Mkuu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mercedes-Benz itawaua watanzania asee

  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa Watanzania kumsamehe hayati Dkt. John Magufuli. Nini kifanyike?

    Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia. Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti na watanzania wengi wakionesha kushtushwa na kifo cha ghafla cha rais aliyekuwa madarakani...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna matapeli wanakudanganya na kukuficha juu ya ukweli halisi wa shida za Watanzania Afrika Kusini

    Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
  7. JamiiForums Tanzania Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga au wanafiki?

    Nakumbuka wakati wa Hayati Magufuli hata hapa mtandaoni kulikuwepo na watu ambao walikuwa wanapongeza hata mambo mabaya. Wadau wengine walikuwa hata wakisema watu wanaopinga serikali wanajiteka, wengine walijiaminisha tu kipambe kwamba Corona itapiga nchi nyingine zote lakini haitaingia kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

    Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO...
  10. JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

    Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa! Ni kipindi ambacho kimeua...
  11. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake). Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda na mnaona zinawafaa?

    Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali...
  14. JamiiForums Tanzania Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  15. JamiiForums Tanzania Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekubali tuko na Rais Samia hadi 2030

    Rais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu. Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya Figo Duniani: 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo

    Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo na idadi ya Wagonjwa inaongezeka Inashauriwa kuzingatia Lishe Bora, kula Matunda/Mbogamboga, kupunguza kiasi cha Chumvi pamoja na Matumizi ya Pombe na Tumbaku Mtindo wa Maisha na Vyakula tunavyokula vinaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana viwango vya kimataifa, ni zawadi maalum kwa Watanzania

    Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania na akili zenu za Beberu

    Kabla sijazungumzia chochote tengeneza picha ya beberu (mbuzi dume) kichwani. Fikiria anapewa pumba, majani ya kutosha na mwishowe maji ila mwisho wa siku nini? kisu shingoni. Hili tukio completely na nyie Watanzania (mimi nimejitoa kwa kukosa hivyo vigezo vya beberu). Hivi unadhani kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake

    Wanabodi, Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis" Kuijua psychoanalysis ni nini na ni ya kazi gani? tembelea hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…