Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Mar 1, 2023
168
818
"....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!

"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."

"....mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."

"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.

Kanisa Katoliki TV.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
 
"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"

" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."



Pengo.

Kanisa Katoliki TV.
CCM Wajiangalie atadodonka MTU siku si nyingi waache masihara
 
Back
Top Bottom