watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wamewakataa Wanaharakati uchwara

  2. JamiiForums Tanzania Elnino ni Mbinu ya Serikali Kuhamisha Fikra za Watanzania Mauaji 2025 , Baada ya Nuhu, Mungu aliweka Agano la Kutoiangamiza Dunia kwa Maji Mengi

    Hamna Mvua kubwa yoyote itakayokuja kua Tishio Wala kuua Binadamu kwa Maelfu !!. Elnino ni Mbinu ya Wahuni kutuhamisha, na kumsogezea Samia Muda !!. Puuzieni Taarifa yoyote ya Elnino KATIBA MPYA FREE TUNDU LISSU TUNAMTAKA NCHIMBI, POLEPOLE NA WOTE WALOTEKWA! UWAJIBIKAJI MAUAJI OKT 29 FIDIA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

    Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania. Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania hawafanyi movement kubwa ya kupinga ongezeko la unyanyasaji wa watoto Tanzania?

    Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu huko Pemba kuna mwanafunzi ameuawa na kukatwa mkono Sikuhizi pedophiles wameongezeka sana...
  7. JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

    Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
  8. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
  9. JamiiForums Tanzania Miss Grand International imewaumbua wanaharakati. Tuacheni Watanzania tuishi

    https://x.com/_zack255/status/2109188455766843658
  10. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii! Kama KATIBA ya JMT ,ipo na inaheshimika,"CCM ombe watanzania Radhi!"

    Ikishindikana,Chacha afukuzwe kazi!
  12. JamiiForums Tanzania Miss Grand Internatinal 2026: Ni kipimo cha watanzania kuungana kwenye kupigania jambo lolote

    Salaam wakuu, Hili jambo nilikuwa silifahamu ila baada ya girlfriend wangu ku-share na mimi nikaanza kulifuatilia. Kwa tafakuri yangu nimeona ni mwanzo mzuri na mwamko wa watanzania kuungana kwenye common goal. Mwanzo sikutaka hata kuliongelea maana najua wanasiasa ni watu wa kuchukua credit...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tuna upendo sana, lakini tunaowaonesha upendo hawatujali

    Wakuu Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar.. Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama. Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80. Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  16. JamiiForums Tanzania Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi ni mali ya Nani? Kabudi Vs Chacha.. Watanzania wanawatizamaaaaaa

    .
  19. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…