watangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jamani watangazaji wetu kipimo cha umeme kwenye grid ya taifa ni megawatt siyo megabyte!

    Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Watangazaji wa Entertainment Kwenye YouTube

    Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani. Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamoja na watangazaji wa hivyo vipindi

    Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio. Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa. Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Radio Free Africa walikuwa na hatari sana

    Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo Fedwaa Mohammed Baraghaza Rebecca Mulesi Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu ni uungwana la hasha huu si uungwana . Rebecca Mulesi -katika ushauri wako.
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

    Naam ndugu zangu katika Imaan. TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan. Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo. Ukiangalia TV Imaan siku...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji. Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na National panasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa watangazaji wa TBC FM(zamani) walitumia kauli hizi kipindi wanaondoka TBC FM

    Wakuu,, Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  12. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Azam hawajui kiingereza?

    Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi. Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani" Ni aibu kwa kweli. Jipigeni...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  14. Goodluck Mchika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Azamtv

    Nauliza watangazaji wa Azamtv kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara , ina maana wachezaji nje ya Simba na Yanga awawezi kupambwa kwa wanachokifanya wakiwa wanashambulia hizo timu mbili kama wao wakiwa wanashambuliwa.
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  16. D

    JamiiForums Tanzania PJ na Hando ni watangazaji wenye I.Q kubwa sana

    Aise kwangu mimi PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini, ● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi ● Wachambuzi wazuri hasa wa habari ngumu za kisiasa ● Pia wana kaliba km ya uongozi hivi
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Ole wenu ninyi watangazaji wa mpira

    Ndiyo mnaongoza kuharibu majina ya wachezaji,Feisal Salum Abdalah mkamuita Feitoto mkaona haitoshi sasa Baraka Mpenja anamuita Feisal Failasufi.👉badilikeni acheni ulimbukeni usiyo na tija.
Back
Top Bottom